DOWANS wawasha Mitambo yao

DOWANS wawasha Mitambo yao

kuna post inaendelea kujadiliwa kuhusiana na mmiliki wa dowans ambaye yuko hapa nchini.kwa upande wangu kuna usanii unaendelea jamaa kama sijakosea alikuwa anajitetea ila huku akieleza background ya criss ya umeme ila hajasema ni kwa jinsi gani ameweza kuridhi mkataba kutoka kwa wenzake. hivyo hapa lazima tujiulize haya yamekujaje hapa
 
twendeni tahrir square ya bongo tuchukue nchi yetu ujinga huu sasa
 
Mkuu kwa style hii kweli tutashinda hivi vita?
Mambo mazuri yanagharama zake mkuu.

Njoo Arusha ufike kiwanda cha SUNFLAG kwanza waulize kina wafanyakazi wangapi na kutokana na ukosefu wa umeme wanafanyakazi siku ngapi kwa wiki na shift ngapi kwa hizo siku.

Hasara inayopatikana katika uchumi kwa ujumla wake kutokana na tatizo la umeme nahisi kwa muda tutakaokuwa kwenye mgao mpaka mabwawa yajae inaweze kuzidi ile bei DOWANS waliotaka kuiuzia Tanesco mitambo.
 
Kwa hii tutaambiwa mitambo yao iliwashwa na umeme ukaingizwa kwenye gridi ya taifa na kwahiyo hakuna jinsi lazima tuwalipe.
Usije kushangaa utakapo ambiwa wanaingia kwenye meza ya mazungumzo baada ya kuwasha mtambo, kwahiyo RA ndiye atapanga bei ya kukodisha hiyo plant na tanesco watakuwa hawana njia ya kubisha zaidi ya kulipia huduma toka dowans. Na kwa staili hiyo naziona biioni 94 zimelipwa kwa dowans kupitia mlango wa uani ilihali watanzania wako sebuleni(mahakama kuu) wakisubiri.

Jamani heeeeeeeeeeeeeee huyu Rostam Azizi ni nani hasa. Ametuingiza kwenye matatizo makubwa saaana na bado tunamuona a man of respect!!!!!! Watanzania tukoje, maana hata huyu Suleiman kasema aliletwa na Rostam. Hapa hakuna kificho jamaa Rostam kajianika hadharani, yeye na huyu Generali ndio wamiliki wa Dowans. Bila shaka kuna wengine pia lakini wanakanusha kuwa ni wao. Watanzania tufanyeje kujikwamua na hili jinamizi la wezi na mafisadi wa nchi hii niipendayo TZ. Watatufisadi hadi lini. Hatuna namna yoyote ile???????????????

Tell the rebellious people of this Nation: That I THE LORD GOD command you to to stop your evil ways!!!!!!!! Ezekiel: 44:6
 
kwanza mabomu,tukapotelea kwenye mawazo hayo,hatujakaa sawa akapaa na ndege usiku huohuo wakawasha dowans,..bullshiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiit,mi nitalalamika mpaka lini?
 
naomba kutofautiana na wachangiaji wengi wanaomlaumu ra kwa kumleta mwekezaji.

mimi nadhani tungepaswa kuilaumu aidha benki ya dunia au shirika la fedha la dunia (imf) ambao ndio walioshinikiza sera ya serikali kujitoa kwenye biashara. Nasema hivi kwa kuwa ni kutokana na sera hii serikali iliruhusu watu binafsi kuzalisha umeme na kuiuzia tanesco. Kama hii sera isingekuwepo sidhani kama tungekuwa na kina iptl, aggreko, songas badala yake kungekuwepo uwekezaji wa nguvu tanesco ili wamiliki hiyo mitambo
 
Ndiyo maana leo huku Vijibweni kuna umeme!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tuko wengi humu, hata mimi nimeshangaa leo mchana tena jumatatu umeme uwake Temeke. Kazi ipo
 
Jamani heeeeeeeeeeeeeee huyu Rostam Azizi ni nani hasa. Ametuingiza kwenye matatizo makubwa saaana na bado tunamuona a man of respect!!!!!! Watanzania tukoje, maana hata huyu Suleiman kasema aliletwa na Rostam. Hapa hakuna kificho jamaa Rostam kajianika hadharani, yeye na huyu Generali ndio wamiliki wa Dowans. Bila shaka kuna wengine pia lakini wanakanusha kuwa ni wao. Watanzania tufanyeje kujikwamua na hili jinamizi la wezi na mafisadi wa nchi hii niipendayo TZ. Watatufisadi hadi lini. Hatuna namna yoyote ile???????????????

Tell the rebellious people of this Nation: That I THE LORD GOD command you to to stop your evil ways!!!!!!!! Ezekiel: 44:6

hili si suala la kutubandikia aya za bible.ebo
 
wameshaanzisha mfuko maalum wa kuweka hizo pesa za dowans kama alivyoagiza Makamba jr?
 
naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaauuuuuuuuuuuuuuuuuuuuaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S 13:
 
Jamani waacheni wawashe tupate umeme; mimi nina zaidi ya mwezi sijaweza kuwauliza wanangu wanionyeshe homework zao kutokana na shida ya umeme. Kuna viwanda vinafanya kazi siku tatu kwa wiki kutokana na hii shida.

Ila kama ni kuwalipa DOWANS, walipie kuinunua hiyo mitambo kwa bei yake ya sasa ondoa uchakavu wa miaka mitatu.
wamekunyoosha umeshosheka! unafikiri hii crisis ya umeme haikupangwa? wanapanga na sisi tunaangukia kwenye mitego yao
 
Halafu kesho Ngeleja atakuja kukanusha na kusema kuwa Mabwawa yamejaa maji ndiyo maana mgao umepungua!!!!!!!!!!:hand:
 
Back
Top Bottom