Wakuu hivi ninavyoandika ni kuwa mtambo mmoja wa Dowans aina ya LM6000 PD 40MW uliopo site A nyuma ya ghorofa la Tanesco umewashwa na hadi sasa unazalisha 37MW. Nitawaletea habari zaidi lakini nina uhakika kuwa hawataweza kutembeza mitambo yao yote kutokana na sababu ambazo nitazieleza hapo baadae. Kiufundi mtambo huo kwa sasa ume-substitute mtambo wa Songas ambao kwa sasa upo down kutokana na kupata ajali ya moto hapo jana.
Habari kamili baadae.
Ushindi mwingine kwa akina RA baada kuliteka Bunge.
Mkuu nafikiri huu ni ushindi kwa RA na wenzake, kama wamewasha mitambo yake unategemea nini tena?WildCard,
Huu si ushindi, bali ni kuishiwa nguvu kwa kambi ya RA.. Nimepita pale an hour ago na ni kweli 40MW is up and running! Tanesco Ubungo wamekataa kujibu dukuduku zangu lakini wale "mafundi" wameniambia wana-feed 35MW kwenye grid ya Taifa as of 12:00noon today!
Habari ndiyo hiyo!
Mkuu nafikiri huu ni ushindi kwa RA na wenzake, kama wamewasha mitambo yake unategemea nini tena?