Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Nimeisoma doc hii huku moyo ukidunda sana, baada ya kuisoma nimetafuta gazeti lenye picha ya Rostam nikalichoma moto hasira zipungue!
Why this persian doing this to us, when I'll see him face to face one day I'll explode myself for sake of my country and my kids! When he 'll stop sucking our blood and our resources?
We want new constituition and super hero president to fix him to jail!
Kama sijakosea ..page 30...imezungumzia kwamba hata hiyo DOWANS Holdings huko Costa Rica haitambuliki sasa sijui 'wakuu wetu' waliitambua vipi?Naomba clarification hapa.... DOWANS head office ni Costa Rica..... Concern yangu ni... Je, establishment ya DOWANS hapa TZ ilikuwa under Company Ordinance (CAP 212) au DOWANS waliingia kama Offshore company....?
MMILIKI au wamiliki wa DOWANS ni kina nani?
Nimeshindwa kuipata online ila gazeti la Tanzania Daima la leo limewataja wamiliki wote wa Dowans.
Ni kina nani hao according to Tanzania DaimaNimeshindwa kuipata online ila gazeti la Tanzania Daima la leo limewataja wamiliki wote wa Dowans.
Anko Sam...... RA is the most fearful heist Kingpin in Tanzanian History...... i can not reveal any other person since independence who have swindled everything including electricity
mkuu .. nimegee hao iliyowataja...
Kwa mujibu wa BRELA, kampuni hiyo la DOWANS ina wabia 2 ambao ni Dowans Holding S.A ambaye ana hisa 81% ya Class A na Porket System and Equipment PTE Ltd ambaye ana 51% kwa maana ya Class A ana 19% na B ana 35%
Wakurugenzi wa wa Dowans......ni Brigedia Jenerali Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi ambaye ni raia wa Oman, Guy Arthur Pircard raia wa Canada, Stanley Munai raia wa Kenya. Wengine ni Adnrew James raia wa Canada, Gopala Krishnan Balachandran kutoka India na Hon Sun Woo kutoka Singapore
TANESCO is worth more than those big three telecom companies put together. Hii kampuni kama ikipata mtu ambaye atai run vizuri mbona ni profitable sana?5. Mwisho kuna ambao wanasema kwamba ni lazima tulipe...mimi siwaelewi: Hivi Thamani ya Tanesco kwa sasa yaweza fikia hizo au kuzidi Bil 185? kama jibu ndio basi tulipe na kama jibu si ndio, cha kufanya ni kuji-declare backrupty na hao Dowans wajue wa kumkaba maana kama nijuavyo mimi Serikali sio controling midnya Tanesco na haiwezi kulazimishwa kuwalipia TAnesco...kama Tanesco sio independent power supply company basi tujue kwamba kulikuwa hakuna sababu ya akina EWURA kuwa regulate...
Please TANESCO go BANKRUPTCY AND START AFRESH ...IS THAT TOO MUCH TO ASK?
Gazeti linasema hivi,
Kwenye hizo asilimia sina hakika kama ni sahihi ila nimechukua kama ilivyo kwenye gazeti.
,
sijui ni hii voda-mobilepartner au nini... nimeshindwa ku-download