Una uhakika kuwa Dr. Slaa ni mwongo? Kama ni mwongo mbona hawampeleki mahakamani? Issue ya EPA walisema ni mwongo na mpotoshaji hatimaye ukweli ukabainika kuwa pesa zilichotwa BOT. Kama unaamini Dr. Slaa hajasema ukweli kuwa wa kwanza kumtupia mawe. Usiamini kila unalosikia kutoka kwa watawala waroho wa mali za walalahoi.Mwanakjiji sasa na wewe umeanza kuwa kalunguyeye.
Hivi mtu anawezaje kuwa owner au akamiliki japo hata shea moja ktk kampuni na asijulikane? Unajifanya kama hujui hata sheria za makampuni? wamiliki lazima waorodheshwe kwa msajili wa makampuni endapo kampuni ni ya tz,hata kama ni ya nje lazima wamiliki wajulikane.
Ni vigumu sana mtu kuudanganya ulimwengu mzima kwamba hana shea kwenye kampuni kumbe anayo na isijulikane. Mtoa hoja amemtaka Padri Slaa atoe ushahidi wa umiliki wa jk ndani ya Dowans ili ukweli wake ujulikane,vinginevyo atabakia kuwa muongo.Hata hivyo Padri Slaa kadanganya managapi? Mbona ameprove kuwa ni muongo?
Akili topetope...!! Umejiangalia kwenye kioo,..hasa maeneo ya kichwani?...kama bado,nenda sasa hivi,utagundua una kasoro fulani...Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Mzozaji yaani sina maoni kuhusu Dowans, mimi uchungu wangu nimeupeleka kwenye NO katika useful post. Duuuuuh lakini yote tisa kumi Avator yako bwana kali kinomaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!Weka basi hayo majina au na wewe unatuongopea????
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts
Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti
Unasema JK own DOWANS lete ushahidi
This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu
Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Si kosa lako bali la aliyekuroga
ivuga,
Niko safarini hivyo natoa kwa kifupi tu. anayetaka kuamini ngonjera za Ngeleja aendelee tu kumwamini. Deep green majina yaliyoko kwenye karatasi ni ya nani? Tangold majina yaliyoko ni ya nani? vipi na Meremeta. ongezea la Kiwira Bungeni jina lililotajwa ni la nani lakini jina la Mkapa haliko kwenye founders wa Tanpower Resources japo aliuza hisa zake baadaye? Nipongezee, na Viwanja vya Kawe, mwekezaji anayetajwa siye Adamjee, si ndiye aliyeweka hata deposit. UKWELI HATIMAYE NI NINI? Mwenye nia njema na utashi wa kukomboa Taifa lake ataelewa. Asiyetaka kuamini halazimishwi, mapambano yako pale pale za Ngeleja ni ngonjera tu.
majambo
Member
Join Date
Tue Jan 2011
Posts
21
Thanks
2
Thanked 0 Times in 0 PostsRep Power
0
Mwanakjiji sasa na wewe umeanza kuwa kalunguyeye.