Napenda uelewe kuwa, mitambo yote mikubwa ni bora zaidi iliyokwisha tumika kwa muda mfupi na kurekebishwa faults zote zilizojitokeza kuliko kuinunuwa brand new, ambayo hakuna company yoyote duniani itayoweza kukupa guarantee kuwa ni ''plug and play''. commissioning ya mitambo kama hii inachukuwa at least mwaka mmoja. Jee unafahamu hilo?
Upuuzi huu, hizi data na figures mnazitowa wapi? Process yetu ya manunuzi ilivyo na bureaucracy it takes 2 years to process, au hulijuwi hilo? unless kuwe na emergency, na ndio hizo wanazopigania zikiukwe ili muda usipotezwe.
Hayo matatizo ya Tanesco yalianza 2006?, Kikwete ndie aliyepiga kifuwa kuyatatuwa, au umesahau? Na alipobaini kuwa watu aliowaachia majukumu ya kutatuwa matatizo ya umeme wamefanya madudu (Lowassa, Karamagi, Msabaha), hakuwasamehe wala kumtetea hata mmoja, akawacha sheria ichukuwe mkondo. Au yote hayo huyajui. Besides, akatimuwa uongozi wa juu karibu wote wa Tanesco, akmuweka trouble shooter (Dr. Rashid), ambae ana track record nzuri, katika taasisi zote alizoongoza kwa wakati wake, hakuna scandals na madudu anayo yakuta anayanyoosha. Kaanza kuiweka sawa Tanesco, watui wanalalamika, Jee hamuujuwi uozo uliokuwa Tanesco kwa miaka ne miaka rudi? mnafikiri JK au trouble shooter wake wanaweza kuya tatuwa matizo hayo kwa mwaka mmoja? No way, Tanesco ni shirika kubwa lililooza kila sehemu, lina hitaji total overhaul, na ndio Dr, Rashid yupo mbioni kuliweka sawa na at the same time anataka watu wasitaabike kwa umeme, simple solution: Mitambo tayari ipo Ubungo, madudu yamefanyika, yanashughulikiwa. Kesi ipo Paris, Jee hamkumbuki ya IPTL, kwa kujidai kuvunja nao mkataba sasa tunalipa kutoke puani na vinywani mwetu, IPTL kesi wameshinda, ikabidi tulipe gharama za kesi zao na zetu, fidia, na faida na pia kulipa muda wote ambao wallikuwa idle na mkataba bado uendelee.
Ukifikiria hayo machache tuu, Dowans hali kadhalika, kesi watashinda, kwani ipo Paris, hakuna longo longo huko. Mkataba ni wa kimataifa, mitambo itumike isitumike tutailipia, gharama za kesi, zao na zetu tutazilipia. Na ikiwa IPTL imetutokea puwani basi hii itatutokea (sijui wapi?).
Simpo solushen, negotiate na hawa jamaa, nunua mitambo ya mambo yao kwa bei nafuu, kila mtu alipe gharama zake za kesi (ambayo hatushindi kabisa), watu wapate umeme. Other than that ni kuwatesa wa Tanzania.
Tatizo hili ni pure commercial na watu walichukulie hivyo, mambo ya kuchanganya politics na commerce ndio yanatuweka pabaya. Jee hatuoni yaliyokwisha tukuta tukajifunza?
Nafahamu ila inategemea na mtazamo pamoja na mambo mengine.
Sheria inasemaje?
Na hiyo iliyokwishatumika ilitoka wapi? Ilishuka toka mbinguni au nayo ilinunuliwa brand new then ikarekebishwa hadi ikawa kwenye hali hii tunayoiona?
Mwenye mali ni nani? Mwizi au mtu muungwana ambaye nikipata tatizo na mali aliyoniuzia tutaonge tuelewane jinsi ya kufanya?
Je ni bora kununua kwa machinga kuliko kwa mwenye mali (dukani) hata kama utapoteza muda na gharama kidogo?
Je mke alieyezaa ni bora kuliko binti kwa sababu huna hakika kama atazaa?
Je makuwadi wako wanakusaidia kumpata huyo ni akina na nani na wana sifa zipi kuhusiana na dili yenyewe? Ni watu wa kuwaamini na wana aminika?
Samahani mkuu, mimi siko tayari kununua kanyaboya kwa ajili ya kukwepa gharama!
Hakuna ubishi katika hili.
Mitambo kama anayoongelea ndg Kokolo na hii ya DOWANS inaweza ikawa inalingana, ni kipi kingeharakisha ununuzi wa mitambo ya DOWANS, na isiwe vinginevyo?
Usikurupuke mzee...
Nafahamu ila inategemea na mtazamo pamoja na mambo mengine.
Je mke alieyezaa ni bora kuliko binti kwa sababu huna hakika kama atazaa?
Si kweli.
Hamna kitu kama hicho. Mitambo iliyotumika inabakia kuwa mitambo iliyotumika, na hakuna guarantee kuwa itafanya kazi vyema kuliko mitambo mipya, na kinyume chake ni kweli vilevile. Hivyo hamna sababu ya msingi ya kununua kitu kilichotumika ilhali kuna uwezekano wa kupata kipya, chenye warranty na makaratasi yote yaliyokamilika.
Mitambo ya Dowans, already installed, tested and commissioned na tayari ipo Ubungo. Na Dowans wako tayari kuiuza its a matter ya serikali kukubali tu. It wont take a month, once ikikubaliwa. Simpo.
.Dar Es Salaam;391442]Tatizo lako unatazama upande mmoja wa shillingi, Jee, unajuwa ni hasara ngapi tunayoipata kila siku (sisi watumiaji umeme) kwa kesi tuliyoshinwa ya IPTL? na mwish wake ni nini
Kama tutalipa sasa tunasumbuliwa na nini? Kwa nini tusiachane naye ili angalau tupunzuze hasara. Kama tutalipa na sasa tunanunua mitambo yake maana yake tunampa jamaa mafuta na moto ili atukaange?inabidi tulipe, tulipe tulipe. Na kama haya ndio tayatukuta kwa Dowans, tutalipa, tutalipa tutalipa.tukiinunuwa tusiinunuwe tutailipia, hatuna uwezo wa kushinda kesi ya mkataba tuliosaini wenyewe, wenye makos ni hao waliosaini hii mikataba mibovu mwanzoni kwa tamaa ya kujipatia vi-ten percent. Na si Dowans.
Mkuu unachanganya mambo. Mtoto hafanyi vitu makusudi. Ndiyo maana akikunyea unafuta na kucheka. Ila njema ikikurushia mavi naamini utapambana nayo ili angalau kieleweke. Ndiyo maana jamaa waliotaka kuturushia huo uozo wao tumepambana nao hadi wakatimua mbio. Kama si hivyo kwa nini Daktari mzima anapandisha mori na kususa kazi aliyoikubali mwenyewe?Jee, unatatuwa tatizo kwa kujiongezea matatizo? hii ni kama, mtoto akikunyea wewe unakata mkono badala ya kwenda kuuosha.
Hahahaha, mengine inabidi kuyaacha kama yalivyo. Sababu ya msingi ni kuwa wengi wetu hatujuwi somo la hesabati na hili lina matter sana.
Hesabati ndio nini, au ndo version mpya ya uwizi na ufisadi? Usipime intelligence ya watu na fani zao, kwa makisio, lete hoja zenye mashiko.
.
Mkuu, siangalii upande mmoja ila naomba utumia busara za kawaida tu. Unaweza kukaa meza moja kudiliana na mwizi aliyekuibia? Mbona hatufanyi hivyo kwa mambo binafsi, kujadili jinsi ya kurekebisha mambo na mgoni wako?
Kama tutalipa sasa tunasumbuliwa na nini? Kwa nini tusiachane naye ili angalau tupunzuze hasara. Kama tutalipa na sasa tunanunua mitambo yake maana yake tunampa jamaa mafuta na moto ili atukaange?
Mkuu unachanganya mambo. Mtoto hafanyi vitu makusudi. Ndiyo maana akikunyea unafuta na kucheka. Ila njema ikikurushia mavi naamini utapambana nayo ili angalau kieleweke. Ndiyo maana jamaa waliotaka kuturushia huo uozo wao tumepambana nao hadi wakatimua mbio. Kama si hivyo kwa nini Daktari mzima anapandisha mori na kususa kazi aliyoikubali mwenyewe?
Kwa mwendo huu naona itabidi tuweke vyetu hapa kabla ya kujadili issues. Kwa hiyo mafisadi watatutesa kwa sababu kila utakachokiongea utaulizwa kama ulipata A au F kwenye hilo somo. Itabidi tunyamaze kama Mzee Kawawa! 🙄
Hesabati ndio nini, au ndo version mpya ya uwizi na ufisadi? Usipime intelligence ya watu na fani zao, kwa makisio, lete hoja zenye mashiko.
1) Dowans hakuiba na wala huwezi kumshika kwa wizi aina yoyote na ndio maana hakuweza kushitakiwa. Na ndio maana yeye ndio kashitaki huko Paris, na sisi ndio tunajitetea. Walioiba wanajulikana.
2) Hilo ndio liwe msingi wa ku-negotiate, tunajadiliana kununuwa, tukikubalina, kesi zote za madai zifutwe na mikataba yote zamani ifutwe, kulipia. Mfanya biashara yeyote mzuri ambae atapata mkwanja na kafaida kake haraka haraka badili ya kungoja, atakubali. Na nadhani hii offer kisha itowa yeye mwenyewe na ndio maana ikafikia watu kuongelea hili la kuinunuwa. Simpo.
3) Njemba zilizoharisha si unazijuwa? Dowans hayumo katika hao na ndio maana anadunda mpaka wa leo.
Daktari anaona upuuzi huu, ameshatowa ushauri wake na wa kuamuwa manunuzi si si yeye, kwani Tanesco hawana kitu, mifedha yote wanayoingiza wanalipa madeni ya kina IPTL na wengine, ambayo daktari kaikuta. Hataki yajirudie, kama wanasiasa hamtakai haya fanyeni nyinyi maamuzi. Mgao waja, msimlaum.
Hawa jamaa wanaopigia upatu hii ishu siwaelewi kwa kweli. Wanazungukazunguka tu kama kuku aliyepigwa jiwe la utosini.
Unajua Dr. Mwakyembe amewaeleza vizuri kabisa hawa watu, amewaambia TANESCO wanunue hiyo mitambo, kama wanajua wanafanya kitu sahihi, kwani jambo la manunuzi mbona ni jambo la kila siku ndani ya Serikali na TANESCO? Iweje hili walilete bungeni? Wanataka ku-achive nini? Au wanataka huo ufisadi uanze kupata baraka za bunge ?
Lakini je ni kweli kwamba kwa kuwa tu Dowans ina tokea katika mizizi ya Richmonduli basi ndio kila kitu kihusishwe na ufisadi?