Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,936
Mwanakijiji, nitadiscuss zaidi kwenye ile topic nyingine ya Dowans, lakini points zako ni nzuri lakini umeshindwa kuonyesha hasa Nguvu za kununua Dowans zinatoka wapi. Kumbuka serikali hata iseme vipi kuna sehemu iko accountable (Bungeni), sasa huko ndiko Zitto ametumiwa ili kutumaliza wananchi, kwa hiyo kwenye ili sakata mkombozi ni bunge, sasa tuangalie bunge tutalitumia vipi wakati baadhi ya nguvu tulizokuwa tunazitegemea awali kununuliwa/kuwablackmailed/au hata sijui niseme vipi.
tunaweza kukaa pembeni kunung'unika au kuamka na kuhamasika; tunaweza kuwa wachambuzi wa mambo wasiotaka kuchukua msimamo au tukachukua msimamo kuonesha uchambuzi wetu wa mambo. Tuna uchaguzi wa kukubali kluwa serikali ifanye ipendalo na sisi tubakie kulialia pembeni au kusimama na kunyosha mikono yetu kama maaskari wa usalama barabarani na kuiambia serikali "stop"!
Soma kijarida cha Cheche ili upate sababu za nyongeza kwanini ni suala la uzalendo, utaifa, utawala bora, na utawala wa sheria kuizuia Dowans kupata hata senti moja ya Watanzania.
Hadi hivi sasa hakuna mnunuzi mwingine yeyote ambaye yuko tayari kununua mitambo hiyo tangu tenda hiyo waitangaze karibu miezi minne iliyopita. Mnunuzi pekee ni Serikali. Serikali isiponunua Dowans watapata hasara kubwa kwani "kitawadodea".
Asante kwa wale wote ambao wamefanya kazi yao leo na matunda tumeanza kuyaona. Wale wengine ambao hawajatambua bado ni kwanini we have to stop this menace to our energy sector please read and distribute.
It is time to move from Criticism to Activism!!
Dowans must be stopped.
Moelex, sikufanya hivyo kwa sababu hilo linahusiana na siasa za makundi, maslahi ya watu mbalimbali. Kupinga kwetu ununuzi wa mitambo hiyo haijalishi nani anasukumiza mradi huu. Ni wajibu wetu kuupinga kwa sababu it simply corrupt from the get go. Hata mradi huu ukisukumwa na Malaika Gabrieli bado tunatakiwa kuukataa!!
Hivi kununua mitambo ya DOWANS ni uwekezaji mkubwa ?
But Sir,wat about that 'tununue mitambo ya Dowans yaishe&free Gire' or I didnt get the tone right!?
Jamani,
Nataka kutathmini niwe upande gani kuhusu ununuzi wa mitambo... bila influence ya mitambo ni ya nani?
Naomba kuambiwa faida na hasara za kununua au kutonunua mitambo hiyo... ninachomba kwenye uchambuzi huo... muondoe issue ya umiliki wa mitambo.
duh.. nilisema "mwachieni Gire, nunueni mitambo ya Dowans". NIlisema hivyo kwa sababu haya mazungumzo tunayoendelea nayo hayana maana uamuzi ulishachukuliwa kununua mitambo ya Dowans..
Ndiyo maana nikasema kwanini tuendelee kuzungushana, si wanunue tu wamuachie Gire ili hili la Richmond na Dowans lifikie mwisho wake kuliko huu mchezo wa kidali po tunaoucheza?
Moelex, sikufanya hivyo kwa sababu hilo linahusiana na siasa za makundi, maslahi ya watu mbalimbali. Kupinga kwetu ununuzi wa mitambo hiyo haijalishi nani anasukumiza mradi huu. Ni wajibu wetu kuupinga kwa sababu it simply corrupt from the get go. Hata mradi huu ukisukumwa na Malaika Gabrieli bado tunatakiwa kuukataa!!
Sasa mkuu sehemu ya kupinga kisheria si Bungeni?? Sasa utapinga vipi kisheria wakati wenyeviti wa baadhi ya kamati muhimu wako bought?? Anyways don't worry tunashughulikia ili suala kwa mbinu nyingi na as long as wote tunataka end result moja its all good.
Salva amekanusha taarifa ya gazeti la MWananchi, amesema Rais hakuzungumzia hata chembe kuhusu Dowans.
Jamani,
Nataka kutathmini niwe upande gani kuhusu ununuzi wa mitambo... bila influence ya mitambo ni ya nani?
Naomba kuambiwa faida na hasara za kununua au kutonunua mitambo hiyo... ninachomba kwenye uchambuzi huo... muondoe issue ya umiliki wa mitambo.
Jamani,
Nataka kutathmini niwe upande gani kuhusu ununuzi wa mitambo... bila influence ya mitambo ni ya nani?
Naomba kuambiwa faida na hasara za kununua au kutonunua mitambo hiyo... ninachomba kwenye uchambuzi huo... muondoe issue ya umiliki wa mitambo.
Zitto, Unakuwa kama Masha? Kumuandikia Barua Rais na Waziri Mkuu barua ya maoni?
TANESCO inataka kununua turbines zile kwa sababu ina upungufu wa umeme... capacity iko already chini.... anytime mtambo wowote ukiwa unahitilafu taifa linaingia kwenye mgao... is that what you want...
Kuweni wazalendo na nchi yenu... think big.
Kuagiza na kufunga mitambo mipya inachukua sio chini ya mwaka kama sikosei... sasa angalieni athari za kukosa umeme na athari za kununua mitambo.... ili akili zenu zifanye kazi kwanza ondoeni mawazo ya mtambo ni wa nani.