Wakisha pata detils hizo wafanye nazo nini? Mbona walipata details za ndege ya Rais (Gulfsteam) na bado ndege ikanununliwa kwa bei ile ile ya serikali..
Tuachane na .....................Ahh. Huko majuu watu..........Ahh wanaendesha nchi na shughuli zao kwa ufanisi na bila kubaguliwa.
Katika hili, mawazo yake huyo huyo ......Ahh ni ya busara sana kuliko hao straights.
1. Mitambo yote iliyo nchini kwa sasa inafanya kazi. Mitambo hiyo ilinunuliwa ikiwa mipya na imezeekea humu humu nchini ikitumiwa na Tanesco. Kwa hiyo hiyo sheria ya kununu mitambo ya zamani hai apply hapa. Ingekuwa ilikuwa ikitumiwa na mtu mwingine nje ya nchi, hapo ingekuwa issue.
2. Tunajua milolongo iliyopo ya ku order mitambo mipya. Mpaka ifike hapa si chini ya miaka miwili. Kwanza ufanyike upembuzi yakinifu, ziitwe tenda, kamati ya zabuni ikae, majadala wa waziri mhusika kuingilia tenda process ufuate, mwishowe oda ifanywe, kampuni iliyopata tenda ichelewe utekelezaji, etc. By the time mradi unaanza kazi si chin ya miaka miwili. Wakati huo wote Tanesco inalipa capacity charges. Sasa badala ya kutumia hizo pesa za capacity charges kununulia mitambo zinakuwa zinapotea bure. Kama si ujuha ni nini?
3. Jamaa wakikatalia mitambo yao, nyie hao hao ndio mtakao anza kulalamikia mgao.
4. Tuache siasa jamani. Tuwaachie wataalam akina Dr. Rashid, wafanye kazi yao.
Baadhi ya wabunge wa kamati hiyo iliyokuwa chini ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe waliwabana maafisa wa Tanesco waliokuwa wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Dk Idrisa Rashid ili waeleze sababu iliyowafanya waamue kununua mitambo chakavu ya Dowans badala ya mipya.
Wabunge hao walionyesha wasiwasi wao kufuatia nia ya Tanesco kutaka kununua mitambo hiyo huku wakijua kuwa sheria ya manunuzi inazuia ununuzi wa mitambo chakavu.
Mbunge wa Bukombe, Emmanuel Luhahula, alihoji iwapo Tanesco na serikali hawana wazo mbadala zaidi ya kununua mitambo ya Dowans.
Zitto alimtaka Mkurugenzi wa Tanesco aieleze kamati mitambo ile inayotaka kununuliwa na shirika hilo ina ubora wa kiasi gani.
Akijibu baadhi ya hoja za wabunge, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dk Idriss Rashid kwa kushirikiana na timu ya wataalam wake, alisema mtambo mmoja ni mpya na mingine imetumika kwa takribani saa 800 kila mmoja.
Alisema mitambo hiyo inao uwezo wa kufanya kazi kwa miaka 10 bila kufanyiwa ukarabati na kwamba ikifanyiwa ukarabati inaweza kufanya kazi kwa miaka mingine 10 na kufikisha miaka 20.
Dk Rashid aliongeza kuwa shirika lake lilipata mkaguzi kutoka Ujerumani ambaye aliikagua mitambo na kutoa taarifa kuwa mitambo hiyo ni mizima na inao uwezo wa kuzalisha umeme.
Alisema jambo kubwa linaloisukuma Tanesco kushinikiza ununuzi wa mitambo hiyo ni hali ya ukame inayotarajia kuikumba nchi katika kipindi cha miezi kadhaa ijayo.
Zitto alipomtaka Mkurugenzi huyo aeleze mbadala endapo bunge halitaridhia ununuzi wa mitambo hiyo, Dk Rashid alisema hakuna chaguo jingine ni ama kununua mitambo hiyo au nchi kuingia katika giza.
"Nafikiri suala hili ni la kitaifa, tunapaswa kuliangalia kwa uzito wake, au tuendelee hivi tulivyo na kuwa na shortage (upungufu) ya umeme au kununua mitambo iwe ya Dowans au mingine yoyote, lakini tukumbuke kuwa tukiamua kukodi itabidi kuendelea kulipia capacity charges (gharama ya mitambo)," alieleza Dk Rashid.
Dowans = Kikwete + lowassa + Rostam... ndio maana nguvu yake kubwa kushinda chochote Tanzania
Dowans is Rostum Aziz and Rostum Aziz is Dowans. Doesn't make sense? At the end of the day mitambo itanunuliwa, Rostam ataweka hela yake mfukoni, mambo kwisha.
CCM sasa tishio
Sasa yatishia kulisambaratisha taifana Mwandishi Wetu
Dk. Idris Rashidi, alisema wakati umefika kwa Watanzania kuweka pembeni matakwa ya kisiasa katika mambo yanayoweza kugusa moja kwa moja mustakabali wa kiuchumi wa taifa.
Ifikie wakati tuache kuingiza siasa katika masuala ya kitaalamu, kwani hazitatufikisha popote. Kama watu wana matatizo na watu fulani, basi wasiyaingize katika mitambo. Nchi hii inaelekea kubaya, alionya Dk. Rashidi, mmoja wa wachumi wanaoheshimika nchini.
Kwanza, huyu Idris Rashidi ni fisadi, ushahidi wa wazi upo kule kwenye dili la Rada. Sasa mtu huyu atadai vipi anafanya kazi kwa ajili ya kuliokoa Taifa?
Pili, hawa Dowans wananuka Rushwa, kupitia Richmond. Hizo Capacity Charges zinatokea wapi iwapo kulikuwa na ukiukwaji wa sheria.
Tatu, hivi visingio vyakusema eti mitambo haiwezi kupatikana haraka ni mkusanyiko wa uongo, uvivu wa kufikiri na kiburi. Kiburi hiki anakipata wapi?
Waache kutufanya wa-Tanzania mabwege.
Wakati Richmond ikiletwa tuliambiwa kwamba hilo lilikuwa ni suluhisho la muda mfupi wakati serikali ikiangalia namna ya kupata ufumbuzi wa muda mrefu. Je, TANESCO na serikali walifanya nini kwa kipindi cha miaka 3 ili kuwa na ufumbuzi wa muda mrefu?
Hivi kuna sababu gani ya kununua mitambo ambayo ilishatumika? Kusema kwamba imetumika kwa masaa 800, hatuna uhakika kama kweli imetumika kwa masaa hayo tu. Kwanini serikali isitangaze tenda ya kununua mitambo mipya? Dr. Rashid anaposema kwamba mchakato wa kununua mitambo mipya kwamba itachukua muda mrefu, tunarudi kule kule kwenye mkenge wa Richmond, kwamba mambo yalifanyika kwa dharura na hivyo hakukuwa na umakini wa kutosha, je bado tunarudia kutumia same excuses kwamba hali ni mbaya sana na hatuwezi kusubiri?
Ni vyema TANESCO na serikali wakaanza mchakato wa kununua mitambo mipya, maana naona yanatengenezwa mazingira ya kutuingiza kwenye mkenge mwingine.
Imebainika kuwa fedha zilizorejeshwa hadi mkataba unavunjwa ni jumla ya dola 7,674,186 za Marekani (zaidi ya Sh bilioni 7.7), huku dola za Marekani 23,022,412 (zaidi ya Sh. bilioni 23) zikibakia kwa Richmond na mrithi wake Dowans.
Kama bado wana pesa yetu, ni kwanini hadi hivi sasa hatujaichukua hiyo mitambo yao na kuinadi tuone kama inaweza kutoa angalau hata nusu ya deni letu?
Unachosema ni sawa kabisa. Kama Richmond/Dowans walitakiwa warudishe shilingi 23 billioni na wameshindwa kufanya hivyo basi mitambo yao ilitakiwa ikimatwe na kupigwa mnada ili kurudisha pesa hiyo, lakini hakuna anayejali huko serikalini wala TANESCO kufuatilia hiyo 23 billioni bali wanataka mshiko wao haraka sana na ndiyo maana wameshupalia kuinunua mitambo hiyo michakavu kwa 60 billioni.
Who is the power behind Dowans calling shots in govt?
CHARLES RUMISHA
THIS DAY
Dar es Salaam
TANZANIANS sighed with relief when Energy and Minerals Minister William Ngeleja announced that the government has directed TANESCO to ditch the talks with the infamous Dowans Holding over the procurement of its derelict power generating plant.
The past few weeks have been a testing moment, or simply put, a test of wits between the government and the parliamentary select committee on energy and minerals over the buying of the Dowans generator.
In the view of the select committee, the plant could not be purchased because it was second-hand, and therefore contradicting the Public Procurement Act.
Also, the committee stood put on its rejection because the parliament had censored the entire Richmond-Dowans-government deal and demanded the perpetrators to be fired and taken before a court of law.
As good citizens of this land, we were all in shock and had a lot of unanswered questions hovering over our sober minds.
How could the government pay 70bn/- to Dowans for its used power plant? Had Dowans, whose proprietors the government said had not been identified now emerged from Mars, earned credence and are seriously negotiating with the very government it had swindled and embarrassed?
To many Tanzanians there was no way Dowans Holding could be separated from Richmond. There are many unanswered questions on their association.
Taxpayers were still bitter on the 153m/- daily capacity charges that Dowans collected. We are not sure if the tax-man remembered to collect the revenues from the disbursement! But, most importantly, it has never been clarified on who paid the letter of credit that was guaranteed to Richmond by the government
It is undeniable that Dowans, which inherited the power generating assignment from the briefcase company, accomplished the task in default; thus perfecting a typical hoodwinking that in all essence was illegal and undesirable.
Richmond and Dowans, the former a brief-case company, and the latter a registered firm that inherited an illegal contract from Richmond in bizarre circumstances, raised eyebrows to the extent that the parliament formed a probe team to straighten out the entire tangle.
After the parliamentary probe team, led by Harrison Mwakyembe (Kyela MP), tabled its findings, the House affirmed inter alia that the deal was dirty, the government had been conned by the brief case company and that the entire deal was floppy and corrupt.
Parliament passed 23 resolutions on Richmond, demanding the government to take stern action including abrogating the contract with Richmond-Dowans and putting to task all those who collaborated in the scam.
The Prime Minister of the time, Edward Lowassa and two ministers resigned and a few months later the government cancelled the controversial Richmond-Dowans contract.
After the dust that the scam had raised settled, Tanzanians felt relieved and the parliament regained its position in society. The JK government received new baptism and people kept waiting for the culprits to be either sacked or taken to court.
As if opening up an old wound, reports emerged that TANESCO was negotiating with a censored company to purchase the Dowans plant.
The news was like a bolt from the blue because the House was waiting to know what the government had done on its recommendations.
We began wondering if the minerals and energy ministry had suffered a curse, or was it led by big headed people who no longer respected the rule of law and the wish of the people.
Indications were that the lackluster and laissez faire tradition in the ministry had recaptured its seat.
Thank God sanity has reigned and the whole shabby deal dropped. Albeit we want to insist that it is time the government skirted around silly and embarrassing actions.
The TANESCO Board of Directors, the government negotiation team and the ministry lawyer cannot be absolved of the heinous crime of treachery.
We assert that it was shameful for the ministry to open new avenues with a firm that had been censored by parliament and declared illegal.
We want to state categorically that the Public Procurement Act prevents government from buying second-hand items. Who are those powers behind government forcing public institutions to break the law?
But, most importantly, since TANESCO and the government negotiation team have talked face to face with representatives of Dowans over the purchase of the latters plant, its the right time Tanzanians were told the powers behind Dowans.
Tanzanians want to know the power behind Dowans that calls shots in government; earns favours and cash, tramples the law and just walk off scot-free.
We want to emphasize that public servants have obligations to the public and not to any other forces. It is indeed a bizarre situation to see the ministry of energy collaborating with Dowans, a firm that has much to account to the taxpayers for the millions it has pocketed before the abrogation of the contract.
While many Tanzanians are anxiously waiting for the suspects of the Richmond scam to get a sack while others are sent to court, we believe it was inappropriate, totally shameful and illegal for a public institution like TANESCO to sit face to face with Dowans holding to negotiate over the purchase of its used plant.
Where has the civil service lost its morals and respectability Cant people draw a lesson from the stunning events witnessed in the last four weeks at Kisutu Resident Magistrates Court?