daah kwahio mkuu magufuri asitafute jipu pale aendelee kuyakamua mengine kwanzaIkulu wako sahihi; Double standards is a relative term depending on your corner of intetest; kwa hili unaonekana you are all out to settle scores na Sefue kwa sababu zako mwenyewe!!, kama Dira wana taarifa zenye mashiko waende Takukuru; vyombo vya habari vinaweza kuwa Whistleblower; tuhuma huchunguzwa polisi; takukuru na kesi hufanyika mahakamani!
ajitetete wakati anajua yalimo yamo kweli hana pa kutokeaSi ajitetee Mwenyewe? Hizo ni Dalili za Double Standard kweli
yaani daktari wa watu hata hajasikilizwa anaambiwa tu simama kazi aisee...huu utendaji wa cku hiziTumesema kumsimamisha kiongozi wa serikali inahitaji kujirizisha na uhusika wake katika jambo. Mf. Kumsimamisha daktari anayetuhumiwa kuchukua rushwa ya laki moja inaweza kuwa majungu na huyo daktari akaja kuishitaki serikali. angemwamru mganga Mkuu amchunguze maramoja na kumsimamisha kama kuna ulazima ili kupisha uchunguzi. Mtumishi kama huyu huwezi kulinganisha na kutumbua mkurugenzi aliye na tuhuma lukuki na uzembe katika utendaji kazi hali inayozorotesha utendaji kazi. Sefue kama anahusika hakuna anayemtetea atumbuliwe tu, lakini kama kuna dalili ya majungu nayo yachunguzwe
Lalamika ukimaliza, funga bakuli! Kubali matokeo, mtamshitaki mkiingia ikulu 2095.Ikulu imetoa press release kumtetea Katibu Mkuu ombeni sefue ambaye anakabiliwa na tuhuma za rushwa na kampuni ya ujenzi ya kichina ya CRJE
Cha ajabu ni kuwa utetezi wao umekuwa one sided. Iweje wao wanamtetea Ombeni sefue lakini wengine haijawatetea?
Ina maana kuwa kwenye hizi tuhuma za majipu kuna sheria nyingine kwa wafanyakazi wa serikali na kuna nyingine ya Ombeni Sefue?
Hizi double standards tulidhani zitaondoka kipindi hiki cha awamu 5 lakini bado tuko kule kule zama za zamani za impunity.
Kwa utetezi wa leo wa Ikulu ina maana wanasema kuwa watuhumiwa wengine wako GUILTY lakini sefue ni SAFI?
Wameona taabu gani kutoa statement ambayo ni impartial na isiyoegemea upande wowote?
Ahhh nimesahau, usikute statment imeandikwa na huyo huyo sefue.
Once again, tuko kwenye zama za ANIMAL FARM ya George Orwell , wanyama wengine ni bora kuliko wengine
Hakunyanyuliwa, alijinyanyua mwenyewe kama ulifuatilia.yaani daktari wa watu hata hajasikilizwa anaambiwa tu simama kazi aisee...huu utendaji wa cku hizi
Mkuu,Tumesema kumsimamisha kiongozi wa serikali inahitaji kujirizisha na uhusika wake katika jambo. Mf. Kumsimamisha daktari anayetuhumiwa kuchukua rushwa ya laki moja inaweza kuwa majungu na huyo daktari akaja kuishitaki serikali. angemwamru mganga Mkuu amchunguze maramoja na kumsimamisha kama kuna ulazima ili kupisha uchunguzi. Mtumishi kama huyu huwezi kulinganisha na kutumbua mkurugenzi aliye na tuhuma lukuki na uzembe katika utendaji kazi hali inayozorotesha utendaji kazi. Sefue kama anahusika hakuna anayemtetea atumbuliwe tu, lakini kama kuna dalili ya majungu nayo yachunguzwe
Ulikuwepo wakati anapokea rushwa?Hakunyanyuliwa, alijinyanyua mwenyewe kama ulifuatilia.
Weka ushahidi hadharani, sio uluchotaka kusikiaIkulu imetoa press release kumtetea Katibu Mkuu ombeni sefue ambaye anakabiliwa na tuhuma za rushwa na kampuni ya ujenzi ya kichina ya CRJE
Cha ajabu ni kuwa utetezi wao umekuwa one sided. Iweje wao wanamtetea Ombeni sefue lakini wengine haijawatetea?
Ina maana kuwa kwenye hizi tuhuma za majipu kuna sheria nyingine kwa wafanyakazi wa serikali na kuna nyingine ya Ombeni Sefue?
Hizi double standards tulidhani zitaondoka kipindi hiki cha awamu 5 lakini bado tuko kule kule zama za zamani za impunity.
Kwa utetezi wa leo wa Ikulu ina maana wanasema kuwa watuhumiwa wengine wako GUILTY lakini sefue ni SAFI?
Wameona taabu gani kutoa statement ambayo ni impartial na isiyoegemea upande wowote?
Ahhh nimesahau, usikute statment imeandikwa na huyo huyo sefue.
Once again, tuko kwenye zama za ANIMAL FARM ya George Orwell , wanyama wengine ni bora kuliko wengine
Mbowe sio kiongozi wa serikali na hajala wala kuihujumu nchi.Tukisema Mbowe hasitetewe na Makene kwenye kashfa binafsi mnakuwa wakali, ila kwa Sefue ukweli ndio mnauona ?
Mi sijasema alipokea and rushwa, umeni-quote wapi??Ulikuwepo wakati anapokea rushwa?
Ndio poa hiyo hata sefue itakua hivyohivyo majipu ni mengi,ukisema usubili maelezo utashangaa miaka 5 inaisha mafisi yapo tu maofisini,kumbuka mke wa kaisari hapaswi hata kushutumiwayaani daktari wa watu hata hajasikilizwa anaambiwa tu simama kazi aisee...huu utendaji wa cku hizi
Ndio poa hiyo hata sefue itakua hivyohivyo majipu ni mengi,ukisema usubili maelezo utashangaa miaka 5 inaisha mafisi yapo tu maofisini,kumbuka mke wa kaisari hapaswi hata kushutumiwa[/QUOT
daah kwahio sefue nae wtamtumbua sio?