si mpaka upate hiyo spoa. si kila mtu, ni wenye dili tu.Kusaini mkataba sio hoja hata wewe ungeweza kusaini tu ukipata special power of attorney
Hivi hata mfagiaji wa ikulu akuhusishwa na kashfa yoyote ikulu ndiyo huwa inakanusha?Kijana kuwa makini,kamuulize Yerico Nyerere,hata kuandika hujui
Ikulu imekanusha,badala ya kuleta ushahidi unayataka magazeti yatoe picha ya mchina akisaini
Hujamtaja CS ,badala yake nimeona umeandika sifue na Dr.Dau tu,Taja Sefue amehusika vipi na hao wachina?
we Gulwa inaonekana we ndie mwenye ushaidi wa kutosha,unaonenaje kama wewe mwenyewe uje na ushaidi, au kama vip kaupeleke kwenye vyombo husika ili uweze kufanyiwa kazi, kuongea hivi hovyo ni sawa na kujisaidia kwenye kichaka kilicho karibu na njia ya wapita kwa miguu.Katika kujaribu kumtetea sifue, wanadai eti kampuni ya crje sio oliyopewa kazi ya ujenzi Wa daraja la kigamboni. Ukweki ni kuwa crje kutokana na ukaribu na dr dau walipewa hiyo kazi kienyeji, na kwakuwa hawana utaalam wa madaraja walilazimika waingie joint venture na kampuni nyingine ya kichina kwa bei ya mala Tatu ya bei halisi. Kithibitisha hayo naomba magazeti yatoe picha wakati Waku sign mkaraba, anaonekana mkurugenzi mkuu Wa crje akisign kwa jina anaitwa shi yuan ambaye baada ya kufanokisha wizi Wa kutisha, kampuni tanzu ya crje imempandisha cheo na kurudi china
Ushahidi gani unataka zaidi ya huo niliotoa, tuwaombe wahariri wa magazeti watoe picha iliyopigwa siku ya kusaini mkataba, muongo atajulikana ni nani kati ya gulwa na mtetezi wa ikuluwe Gulwa inaonekana we ndie mwenye ushaidi wa kutosha,unaonenaje kama wewe mwenyewe uje na ushaidi, au kama vip kaupeleke kwenye vyombo husika ili uweze kufanyiwa kazi, kuongea hivi hovyo ni sawa na kujisaidia kwenye kichaka kilicho karibu na njia ya wapita kwa miguu.
Lakini brother,tuhuma ni nzito kwa kiongozi mkuu huyu,kwa nini atetewe na Habari maelezo? Kwa nini asijitokeze yeye mwenyewe na kuclear doubts? serikali tunaiamini isianze hizi dalili za double standards,iwe straight......kama yuko clean ajitokeze mwenyewe kwa ujasiri ili watu wenye ushahidi wamwage nondo na kama hawana watu tuendelee na shughuli zetu.Waliotoa utetezi huo ni Idara ya Habari Maelezo, na sio Ikulu kama ulivyoeleza. Kimsingi ktk utetezi huo wamekanusha kwa Hoja zenye mantiki tuhuma zilizoandikwa kwenye gazeti husika dhidi ya Balozi Sefue.
Kwahivyo kama wewe mleta mada hujaridhishwa na utetezi huo, wasilisha ushahidi wa tuhuma za Sefue kwenye mamlaka zilizoainishwa kwenye taarifa husika..
Sio kila mtu anayekosoa ni CHADEMA....Wengine tupo CCM lakini tunapenda haya "majipu" yatumbuliwe,maana kilichotupata kwenye uchaguzi wa 2015 hatutaki kijirudie 2020....Acha wanaojuwa ukweli wauanike.Tanzania ni yetu sote bila kujali itikadiSifue, oliyopewa, ukweki, waliloewa, mala tatu, kithibitisha, mkaraba, kufanokisha.
SIJUI LINI CHADEMA ITAACHA KUAJIRI HAYA MANYUMBU YA DARASA LA SABA. HADI KINYAA KUSOMA HIYO HABARI HALAFU WANAJIITA MABINGWA WA PROPAGANDA. M*AVI MATUPU PUMBA**
Waliotoa utetezi huo ni Idara ya Habari Maelezo, na sio Ikulu kama ulivyoeleza. Kimsingi ktk utetezi huo wamekanusha kwa Hoja zenye mantiki tuhuma zilizoandikwa kwenye gazeti husika dhidi ya Balozi Sefue.
Kwahivyo kama wewe mleta mada hujaridhishwa na utetezi huo, wasilisha ushahidi wa tuhuma za Sefue kwenye mamlaka zilizoainishwa kwenye taarifa husika..
Majipu yalikomaa enzi za JK, na Sefue alikuwa hapohapo Ikulu, leo eti tuaminishwe kuwa Sefue ni malaika?
Tamko la ikulu limesema kama wana ushahidi waupeleke Takukuru au wachukuliwe hatua, hatuwezi kuacha nchi iendeshwe kwa majungu
Na wewe juzi nilikuona umepita karibu na bar ya ndugu Said na kuba vifaranga na UKAWA.Usiwe kama mburula! Tuhuma hizo zinapaswa kuchunguzwa na TAKUKURU haraka sana! Hao ndiyo wanapaswa kumsafisha!