Mkuu Tumia japo akili ya shule ya msingi, wamesema, mwenye ushahidi aupeleke Takukuru au Baraza la maadili, na wametoa maelezo na evidence vizuri sana, maana kuna mengine yalifanyika wakati BALOZI ombeni akiwa BALOZI wa Tanzania Marekani na Umoja wa mataifa, na mengine yalifanyika akiwa na wiki tu kwenye wadhifa wake huu, sasa kama wewe unao ushahidi peleka Takukuru.
Kumbuka Katibu mkuu kiongozi si mtu mdogo kwa wadhifa, kwa hiyo hawezi tu kujitokeza hadharani kujibu upuuzi, na utambue kwamba, Ni lazima kulikuwa na consultations kati ya ofisi yake na idara ya habari maelezo juu ya tamko hilo.