MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,859
Something rubbish is allowed to smear the forum!! Aliyetuhumiwa ni serikali au Sefue? Yaani Sefue akituhumiwa serikali ndo inajibu? Sefue ni mtu binafsi bila kujali madaraka yake, sawa na yule Daktari wa juzi aliyetumbuliwa na PM Majaliwa. Mbona PM hakumwambia yule mama aende PCCB?
Walio makini walitakiwa waanzie hapo hapo kumchunguza Ombeni Sefue kwa kutumia taarifa za gazeti kama walivyofanya kwenye bomba la mafuta. waliipa high rating gazeti kwa kufunua yaliyojificha na wakaenda kuthibitisha.
Ukimtuhumu Magu nani atajibu?! Secondly; kama tuhuma ni nyepesi kama hizo za Dira; ngonjera tupu without facts and figures kama whistleblowing ya Jamhuri! you rubbish them; hazicross threshold ya kufanyiwa kazi; unajibu kwa kuandika NFA ie No further Action; period.