Double standard za wanawake

Double standard za wanawake

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,046
Reaction score
1,349
“Mtazame mwanaume kwa kuangalia viatu vyake, mkanda wake, saa yake n.k…”

Sawa, tunakubaliana mwanaume anatathminiwa kwa muonekano wake?

LAKINI…

Mwanaume akisema:
“Mavazi yako yanaonyesha tabia au heshima yako…”
Ghafla anaitwa mshamba, controlling, au mwenye wivu zaidi

Kwa nini sheria ibadilike ghafla?

Siku hizi kuna wanawake wanavaa nguo zinabana hadi maumbo yote yanaonekana wazi kabisa. Wengine wanavaa wazi kiasi kwamba hakuna kilichofichika ile mistari ya chupi siku hizi ni jambo la kawaida kuonekana. Lakini bado atasimama kifua mbele kusema: “Mimi sijiuzi.”

Unataka kuheshimiwa vipi wakati unajitangaza kwa mwili kuliko utu wako?

Heshima haiji kwa maneno, inakuja kwa namna unavyojibeba. Na mavazi ni sehemu ya hiyo lugha. Usitake kupimwa kwa utu wako wakati presentation yako inaongea kitu tofauti. Kama mwanaume anapimwa kwa viatu vyake, basi mwanamke naye atapimwa kwa anachochagua kuvaa.

Hii dunia haisikilizi unachosema inaangalia unachokionyesha. Kubali au kataa — lakini ukweli utabaki kuwa ukweli.

Ukituvalia mapambo ya ndani hadharani tutaona kuna biashara unaitangaza.​
 
Ila seran ninahasira venye mapenz yamekuwa yakinitesa.sn tatz me bd mdog 21yrs nasitumii mihadarati
Sema huo umri wako wa last born wetu kabisa! halafu unakaa kutushauri kuhusu wanawake? bado sana bwana mdogo, hujakutana na mashindikanaa wakakunyoosha!

Huo umri tulia ufanye mambo ya msingi, hakuna mtu wa umri huo ana settle na mapenzi mdogo etu! Ni utoto tu utakuletea childhood trauma uanze kutoa milio..
 
Uchi hautakiwi kufunikwa na mambo mengi unatakiwa kubaki na harmful yake natural sio sasa wa mjini msafi na anayoa vizuri ila akikuqmbukiza UTI yani serikali itakutolea mfano mpaka uje kupona
Umeenda mbali sana mkuu, ushafika kwenye vuzz hata hatujamaliza mavazi ya nje🫢
 
Sema huo umri wako wa last born wetu kabisa! halafu unakaa kutushauri kuhusu wanawake? bado sana bwana mdogo, hujakutana na mashindikanaa wakakunyoosha!

Huo umri tulia ufanye mambo ya msingi, hakuna mtu wa umri huo ana settle na mapenzi mdogo etu! Ni utoto tu utakuletea childhood trauma uanze kutoa milio..
Asante dada kwa ushaur
 
Back
Top Bottom