Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,162
- 104,739
Ukishajitambua tayar Huwez kuonyesha uchi wako, Huwez kuwa malayaVipi kuhusu mavazi sasa, anaweza kuwa anajitambua ila hafuniki uchi vzr..
Ukishajitambua tayar Huwez kuonyesha uchi wako, Huwez kuwa malayaVipi kuhusu mavazi sasa, anaweza kuwa anajitambua ila hafuniki uchi vzr..
Wanawake wana akili za kipumbavu“Mtazame mwanaume kwa kuangalia viatu vyake, mkanda wake, saa yake n.k…”
Sawa, tunakubaliana mwanaume anatathminiwa kwa muonekano wake?
LAKINI…
Mwanaume akisema:
“Mavazi yako yanaonyesha tabia au heshima yako…”
Ghafla anaitwa mshamba, controlling, au mwenye wivu zaidi
Kwa nini sheria ibadilike ghafla?
Siku hizi kuna wanawake wanavaa nguo zinabana hadi maumbo yote yanaonekana wazi kabisa. Wengine wanavaa wazi kiasi kwamba hakuna kilichofichika ile mistari ya chupi siku hizi ni jambo la kawaida kuonekana. Lakini bado atasimama kifua mbele kusema: “Mimi sijiuzi.”
Unataka kuheshimiwa vipi wakati unajitangaza kwa mwili kuliko utu wako?
Heshima haiji kwa maneno, inakuja kwa namna unavyojibeba. Na mavazi ni sehemu ya hiyo lugha. Usitake kupimwa kwa utu wako wakati presentation yako inaongea kitu tofauti. Kama mwanaume anapimwa kwa viatu vyake, basi mwanamke naye atapimwa kwa anachochagua kuvaa.
Hii dunia haisikilizi unachosema inaangalia unachokionyesha. Kubali au kataa — lakini ukweli utabaki kuwa ukweli.
Ukituvalia mapambo ya ndani hadharani tutaona kuna biashara unaitangaza.
Ndio waif matirio hao acha avutiwe unayeishi nae ndani inatosha sio umvutie Kila mwanaumeUnataka kusema wakipita wenye masketi mapana unavutiwa sana🤭
Hakuna mwanamke wa kumnyoosha mwanaume, ni jinsi tuu mwanaume unavojiweka, ukijiweka kindezi utanyooshwa kweliSema huo umri wako wa last born wetu kabisa! halafu unakaa kutushauri kuhusu wanawake? bado sana bwana mdogo, hujakutana na mashindikanaa wakakunyoosha!
Huo umri tulia ufanye mambo ya msingi, hakuna mtu wa umri huo ana settle na mapenzi mdogo etu! Ni utoto tu utakuletea childhood trauma uanze kutoa milio..
Na mmnaozingatia maokoto na mwanaume mrefu mweusi aliyejazia hata kama ni mume wa mtu mnakomenti wapiTunaozingatia akili + vision ya mwanaume tuna comment wapi?
Wewe unataka tuanze ligi sanaNa mmnaozingatia maokoto na mwanaume mrefu mweusi aliyejazia hata kama ni mume wa mtu mnakomenti wapi
Duniani hakunaga mabasha.Wewe unataka tuanze ligi sana
Anyway
Unaezingatia ma basha una comment wapi?