Betoratekha
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 317
- 915
Aliandika sanaaa huyu jamaa kuhusu Kibiti, tatizo ni kuwa mnaoumizwa TL kuna wakati mnaona bora afe kwa njia yoyote na mnafikiri mnaweza pata utetezi wa dhuluma hiyo.Polisi,viongozi na watu mbalimbali waliuawa kwa kupigwa risasi pale Kibiti lakini hukuweza kulaani kwa kuandika makala kama hii Ila umeona TL ni more human than those who were killed by unidentified gun men.
My Take: We are all equal in eyes of GOD
nduGUY alaumike kwa kukubali kutumika na jiwe maana anachofanya ni kufuata maelekezo ya waliompiga risasiChakaza,
..Spika aliwachangisha wabunge na kuwasilisha fedha hizo Nairobi alikokuwa akitibiwa TL.
..kwa msingi huo Spika hawezi kugeuka na kusema Bunge halina taarifa za ugonjwa wa TL, au alipaswa kumuandikia barua kulieleza bunge kuwa ni mgonjwa.
It doesn't matter anaua wananchi wake kwa kiasi gani!Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepotea njia, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu anasema "we are on a right track".
P
Ujinga ni kuhalalisha kifo cha mmoja kwasababu mwingine naye amekufa. Aliye laani kilichomtokea Lissu si kazi yake kulaani kila tukio. Wewe na wengine wana kazi gani? Kama yeye amelaani lile wewe laani lingine.Polisi,viongozi na watu mbalimbali waliuawa kwa kupigwa risasi pale Kibiti lakini hukuweza kulaani kwa kuandika makala kama hii Ila umeona TL ni more human than those who were killed by unidentified gun men.
My Take: We are all equal in eyes of GOD
Ulianza taratibu but siku zinavyosogea unazidi kuongeza speed!!! Mwanzoni ulizuga kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa but nowadays unafanya kweli.Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepotea njia, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu anasema "we are on a right track".
P
Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepoteza mwelekeo maana anaona kama tunakokwenda siko, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu au dereva wetu wa gari letu anasema "we are on a right track", kwa vile lengo ni kufika salama safari yenu na kuna njia nyingi za kufika huko, then tumuaninie tuu naohodha wetu, atatufikisha tuu.
P
It depends na mwendo kasi wa dereva wetu kama basi lina abiria 100, na liko mwendo kasi wa speed 180km/h, halafu kuna mtu amejitokeza ghafla na kusimama kati kati ya barabara ili kuzuia safari, ungekua wewe ndio dereva, unafanyaje?. Kwa mwendo huu ukichuna break kwa nguvu, tairi zina bust kwa friction, gari inapinduka kwa kubinuka kwa mbele linakuwa kichwa chini miguu juu na kuendelea kuserereka, unaua abiria 100 kwa kumkwepa mtu mmoja?. Ukimkwepa, kutokana na high velocity, gari inapoteza mwelekeo na kupinduka kwa bingiri bingiri kwa upande upande kwa kuwafirigisha watu kama mashine ya kufulia nguo, kuchinja abiria wote, katika situation kama hiyo, kama wewe ndio dereva, unaamua nini?.It doesn't matter anaua wananchi wake kwa kiasi gani!
Nimeshindwa kupita kimyakimya tu.Huu ni mtazamo wa mtu na tuko huru kuwa na mitazamo tofauti tofauti, hivyo wakati mmoja ana mtazamo kuwa tumepoteza mwelekeo maana anaona kama tunakokwenda siko, wengine wana mtizamo tofauti kwa kumuaminia naohodha wetu wa meli yetu au dereva wetu wa gari letu anasema "we are on a right track", kwa vile lengo ni kufika salama safari yenu na kuna njia nyingi za kufika huko, then tumuaninie tuu naohodha wetu, atatufikisha tuu.
P
It depends na mwendo kasi wa dereva wetu kama basi lina abiria 100, na liko mwendo kasi wa speed 180km/h, halafu kuna mtu amejitokeza ghafla na kusimama kati kati ya barabara ili kuzuia safari, ungekua wewe ndio dereva, unafanyaje?. Kwa mwendo huu ukichuna break kwa nguvu, tairi zina bust kwa friction, gari inapinduka unaua abiria 100 kwa kumkwepa mtu mmoja?. Ukimkwepa, kutokana na high velocity, gari inapoteza mwelekeo na kupinduka kwa bingiri bingiri na kuchinja abiria wote, unaamua?.
P
Kumbuka kwa MTU huyo mmoja utaona bora umpitie ili uokoe 100 wasiangamie. Jee akitokea tembo naye? Utampitia tuu ili uponye 100? Ndio utajuwa kwa nini dereva anafundishwa kuendesha kwa tahadhari maana uhai was 100 kaushika yeye.It depends na mwendo kasi wa dereva wetu kama basi lina abiria 100, na liko mwendo kasi wa speed 180km/h, halafu kuna mtu amejitokeza ghafla na kusimama kati kati ya barabara ili kuzuia safari, ungekua wewe ndio dereva, unafanyaje?. Kwa mwendo huu ukichuna break kwa nguvu, tairi zina bust kwa friction, gari inapinduka unaua abiria 100 kwa kumkwepa mtu mmoja?. Ukimkwepa, kutokana na high velocity, gari inapoteza mwelekeo na kupinduka kwa bingiri bingiri na kuchinja abiria wote, unaamua?.
P
Tena usikute miongoni mwa abiria kuna wadunguaji, walipomuona tuu yule mtu aliyesimama kati kati ya barabara, na wanajua lazima dereva atampitia tuu na kwa vile amesimama lazima pia atasababisha impact, waduguaji wanaoweza kuamua kumlaza kwanza chini ili kupunguza impact, ndipo gari inampitia kwa juu na kuendelea na safari mwendo mdundo as if nothing happened!. Uamuzi wa kumlaza sio wa dereva, yeye dereva aliambiwa aendelee tuu kuendesha as if mbele hakuna kitu.Haya bhana, bora afe mmoja ili kumi wafike vema ila kumbuka tahadhari ya dereva barabarani ni muhimu sana kwa usalama. Kama anaweza pita kwa mwendokasi wa 180kph huku barabara ni chini ya 90kph mwenye makosa ni dereva na abiria aliowabeba kushindwa kumdhibiti huyu dereva ambae nahisi amekunywa Pombe ya Chato
kwan lissu aliondok bila taarifa?kwa akili yako alikua anakula bata Nairobi na Ubelgiji?pumbafu sanaa,eti nae mama yako alishikwa uchungu kuzaa bumunda kama wwDot
Dotto Bulendu wewe ni Mhadhiri hapo SAUT Main Campus. Ebu ondokaka kazini bila kutoa taarifa rasmi kwa uongozi uone kama hicho kibarua utaendelea kuwa nacho. Hata kwenye kusomea "ufather" ulipigwa chini kwasababu hukufuata misingi halafu unawatetea wengine. Ajabu sana!