The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Asalaam Aleykum!!
Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa.
Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili aje kushika nafasi ya Uwaziri Mkuu 2025-2030.
Kitendo cha Mh. Kassimu Majaliwa kutogombea tena Ubunge kunaipa nguvu dhana hii ya mkakati mahususi ya kumwandaa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu ajaye.