PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Madini walipewa makaburu na wazungu hukuona kama ni shida,ila mwarabu,wasalimie wenzio huko ukumbi wa TEC
Doesn't matter ndio nasema majizi ya madini, gesi na bandari ni sahihi ila Biteko ndio tatizo? Cha ajabu huyo biteko mmempa ubunge?
 
Petty, Arnold Schwarzenegger alikua governor ila hawezi kua rais,mamdani Kawa meya hawezi kuwa rais,mbunge ni petty political position
Mkuu mbona upo shallow. Mfumo wa wenzetu unafananisha na huku? Huku hatuna uraia pacha.
 
Yaani,

Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming.

Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha.

Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
Campaigns za fazafaka wa Kizimkazi zilianza kitambo sana. Huyu alifanywa deputy prime minister in order to endear Kanda ya Ziwa. Hata Bashite alitumika sana Kanda ya Ziwa wakati wa Campaign.

Mission imeisha, Biteko is no longer needed!
 
Mkuu mbona upo shallow. Mfumo wa wenzetu unafananisha na huku? Huku hatuna uraia pacha.
Huna uraia pacha ila una watu toka nje uliowapa uraia
Mfano wa marekani unarejea kauli ya cdf kuwapa wageni nafasi za maamuzi
 
Me nawashangaa waimba kwaya,unaweza vipi kuwaamini wanaume ambao hawajaoa na wapo tuh maisha yao kama waseja??
Hawana dhamana hao wahuni
Achenu utoto wa udini kwenye ufisadi kuna dini? Mbona JPM aliwashughulikia mafisadi bila kujali dini? Acheni utoto kwenye mambo serious.

Hivi kweli unaona ni sawa kila kitu apewe mwekezaji kuanzia bandari, mbuga, airport, gesi, umeme mpaka madini? Are we serious!!

THE BIG SHOW ulikuaga na akili sana miaka ile 2010s kipindi unapinga gesi kuchukuliwa kimabavu. Na ulipinga licha ya kwamba Rais alikua muislam mwenzako.

Kweli njaa haina baunsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…