Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

kuna mada niliiweka miaka kadhaa iliyopita humu Jf kuhusu namna ya kutunza magurumu ya gari. Itafuteni, bado ni nzuri. Thread Inaitwa 'Je matairi yako ni salama?

Weka link boss sio kila mtu anaweza kuitafuta

Ndugu Sabayi, pole, usipende sana kutafuniwa.
Haya mada husika iko HAPA
Naambatanisha na document yenyewe iliyo kwenye PDF ili kuongeza ladha. Tuendele na mjadala
 
Attachments

Last edited by a moderator:
1.Epuka sana safari fupifupi kwani kawasha gari na kuizima kabla ya nusu saa hivi,engine inakuwa haijapata joto la kutosha hivyo inasababisha uchakavu wa haraka zaidi kwa engine.
2.Kupandisha au kushusha power windows gari ikiwa imezima ni kosa la jinai! Hii inapelekea betri kufa mapema zaidi!

du kali kweli ishi na watu upate vitu
 
Ndugu Sabayi, pole, usipende sana kutafuniwa.
Haya mada husika iko HAPA
Naambatanisha na document yenyewe iliyo kwenye PDF ili kuongeza ladha. Tuendele na mjadala

Nashukuru mkuu
 
Last edited by a moderator:
Nyongeza

15. Hakikisha "site mirror" zako zote hazina hitilafu kuona na kupata taswira ya maderreva wenzango wa kila upande.

16. Usishindane na wenzio barabarani wapishe wababe, wasaidie wenye matatizo ya uendeshaji maana utawaona tu wanavyojikanganya.

17. Traffic ni rafiki si adui msemeshe kwa upole na hoja.

18. Epuka misafara maana haizingatii sheria za barabarani.

19. Ukitaka kuwahi kwenye foleni unga nyuma ya ambulance ikibahatika kupita na si msafara

20. Uwe na fundi mmoja tu wa kutengeneza gari hata kama ni wa chini ya mti.

21. Jitahidi uijue gari yako kama unavyomjua mwenza
 
1)Acha kuosha gari kwa kutumia sabuni za kufulia, zinaharibu rangi ya gari lako. Tafuta sabuni maalum za kuoshea gari ambazo pia zinasaidia kuondoa hata sratch ndogo ndogo na hulifanya gari lako kuwa na rangi yake original. Pia sabuni hii inasaidia kupunguza madhara ya maji ya chumvi ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo yanapatikana hapa Dar es salam.

2)Tumia enjector cleaner fluid kila baada ya kutembea umbali wa km 5000. Hii unatakiwa kuweka kabla hujajaza mafuta katka tenki la mafuta, mara nyingi chupa moja hutumika kwa lita 50 za mafuta. Enjector cleaner husafisha noozles na husaidia kuongeza efficiency ya injini ya gari lako.

TAHADHARI:Usinunue sabuni ya kuoshea gari wala enjector cleaner Lumumba vifaa vya magari, nenda katika supermakert ya Game (mlimami city) au uchumi (quality center) utapata za ukweli.
 
Usiendeshe gari ukiwa umenuna! Hii huchangia ajali za barabarani!
 
1)Acha kuosha gari kwa kutumia sabuni za kufulia, zinaharibu rangi ya gari lako. Tafuta sabuni maalum za kuoshea gari ambazo pia zinasaidia kuondoa hata sratch ndogo ndogo na hulifanya gari lako kuwa na rangi yake original. Pia sabuni hii inasaidia kupunguza madhara ya maji ya chumvi ambayo kwa kiasi kikubwa ndiyo yanapatikana hapa Dar es salam.

2)Tumia enjector cleaner fluid kila baada ya kutembea umbali wa km 5000. Hii unatakiwa kuweka kabla hujajaza mafuta katka tenki la mafuta, mara nyingi chupa moja hutumika kwa lita 50 za mafuta. Enjector cleaner husafisha noozles na husaidia kuongeza efficiency ya injini ya gari lako.

TAHADHARI:Usinunue sabuni ya kuonyeshea gari wala enjector cleaner Lumumba vifaa vya magari, nenda katika supermakert ya Game (mlimami city) au uchumi (quality center) utapata za ukweli.
 
Heri muwasaidie kwani wengi ni wale waliojifunzia kwenye kupiga raundi mtaani, mafunzoni waliona km wamewekewa makanika na madereva wa malori/ofisi so hawakuona umuhimu wa kwenda na matokeo yake hata matunzo ya vimeo vyao hawajui

tupo wengi
 
Usibadilishe madereva mara kwa mara kwani wengine ni vichaa huharibu gari kwa mwendo mbaya na kupiga resi zisiso na mpango.Endesha gari yako mwenyewe ukiwa dereva au mpe dereva mmoja tu.Pia usibadilishe mafundi mara kwa mara kwani wengine wanatafuta pesa tu kwa kutotengeneza gari lako na kulifanya ubovu zaidi na kununua spea ambazo ziso ili ulipeleke kwa mara kwa mara ili wapate fedha tu.
 
Gari yako ya mwaka gani? yani kabla ya kuzima kila saa uzime radio na ac kwanza!!!! nunua gari za kisasa zinazojua ni muda gani radio izimwe bila ya wewe kuzima hasa unapoiwasha.
kama gar gan mkuu!
 
Ikiwezekana jaza mafuta kwenye kituo kimoja na kutosha kumalizia mizunguuko ya siku hiyo ili kama kuna tatizo la mafuta ni rahisi kufuatilia historia ya ujazaji wa mafuta (sio unajaza lita 2 kituo hiki ukipiga misele kidogo inazuka safari nyingine unajaza kituo kingine na wakati wa kurudi tena unajaza wese kituo kingine)

kabisa sana
 
Ni darasa zuri,lakini kwa foleni ya Dar elimu hii itaongeza foleni zaidi.
 
Kaama unamiliki gari ndogo uwe unaiosha mwenyewe. Car wash wanatumia pressure engine zenye nguvu sana hivyo ung`avu wa rangi hufifia mapema sana.
 
Nyongeza

15. Hakikisha "site mirror" zako zote hazina hitilafu kuona na kupata taswira ya maderreva wenzango wa kila upande.

16. Usishindane na wenzio barabarani wapishe wababe, wasaidie wenye matatizo ya uendeshaji maana utawaona tu wanavyojikanganya.

17. Traffic ni rafiki si adui msemeshe kwa upole na hoja.

18. Epuka misafara maana haizingatii sheria za barabarani.

19. Ukitaka kuwahi kwenye foleni unga nyuma ya ambulance ikibahatika kupita na si msafara

20. Uwe na fundi mmoja tu wa kutengeneza gari hata kama ni wa chini ya mti.

21. Jitahidi uijue gari yako kama unavyomjua mwenza

umetisha mkuu utafikiri kinana na tembo vile
 
Back
Top Bottom