Usiwe unapenda kuwapa lift watu hovyohovyo..........
hii ina athari gani??maanake mimi napenda sana kuwapa mademu lift......
Mtafute mtu mnyimi wa lift uone gari yake ina hali gani!
nieleweshe coz gari yangu ina five yrs ndani ya bongo na iko kama ilivyokuja......lift ina tatizo gani???mimi napenda kuwapa mademu lift.......
Labda uko selective sana na hao mademu wako....otherwise utoaji lift hovyo huchakaza sana gari (interior) na uzito kuongezeka

...hii ni shule ya mastaaazi ya magari,sandeni sana wadau..
We Mgogo?
Kwa kuongezea
(1) Kila baada ya sekunde 60 jenga mazoea ya kuangalia dashboard yako, kwa sekunde 1 ili kuhakikisha gauges zote zipo sawa.
(2) Usipendelee Kula ndani ya gari lako, chembechembe zinazo dondoka huvutia wadudu km sisimizi.
(3) Usioshe gari na detergents (sabuni ya unga) kwani rangi inafifia/kupauka.
(4)Pendelea kutumia engine oil zenye high viscosity kwani unapata mileage nyingi kuanzia 5000kms for petrol engines.
(5) Jiwekee utaratibu wa kujaza mafuta mengi kwa wakati mmoja na kwenye vituo vya mafuta maalum.
(6) Pendelea kubadilisha tyres zako kwa mfumo wa S (ya Julia iende kushoto na kushoto eiende nyuma kulia etc).
(7) Penda kuosha engine Mara kwa Mara.
(8) Acha kupiga misele Mara kwa Mara!!!
Nikuongeze!!!!!!
....!!!
(9) Usigeuze gari lako Gesti Haush, vyumba mpaka vya mia 3 vipo uswazi.
(10) Kabla ya kununua gari, kagua kama gari lako ni ya jinsia gani.
Kuna magari mengine hayatupendezi sie wadada na mengine hayawapendezi nyie makaka