Dont tell us how to dress..!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,441
Haya bana, ujumbe umefika..........................


 

Attachments

  • Indonesian women dressed in mini skirt.jpg
    22.1 KB · Views: 1,212
  • 37835252cxcitefun-1798-too-short-mini-skirts.jpg
    41.7 KB · Views: 1,233
Binadamu bhana anazidi kuwa complicated kila siku...Udictator inabidi urudi jaman kumweka huyu binadam sawa
 
BUT WHY MAMBO HAYA YANAWAHUSU ZAIDI KINA MAMA? MBONA HATUONI WANAUME WAKITEMBEZA DIGIDIGI NJE>>????:shock:
Binadamu bhana anazidi kuwa complicated kila siku...Udictator inabidi urudi jaman kumweka huyu binadam sawa
 
Dingi naomba uninunulie kisketi kana cha huyo mu-indonesia kushoto hapo, tafadhali sana.
 
wamekula kande tu hao, mashuzi yanawasumbua, kha!
 
but why mambo haya yanawahusu zaidi kina mama? Mbona hatuoni wanaume wakitembeza digidigi nje>>????:shock:

soma qur-an utajuwa kwanini mwanamke kaambiwa avae hijabu.

Wazungu watawavalisha vichupi hadi makanisani, kwanza manafungisha ndoa za jinsia moja (nabii luti)

yaani nyie hamna akili kweli mungu kakataa nguruwe,pombe lakini nyie wazungu wamewaambia mle mnakula, mfuateni yesu wa kwenye qur-an kama waislamu wanavyomfuata.
 

usitupotoshe. Wazungu wamewakuta Waafrika wanakula nguruwe na kupika na kunywa pombe.
 
Unataka kutuambia kwenu Tanga mmeanza kugema mnazi baada ya kuja wazungu? au kule Iringa walifundishwa na wazungu kugema Ulanzi? Tena uwe na adabu kwa Mola wako, jina la Mungu halitamkwi kwa herufi ndogo. Inaonesha huyo unayemzungumzia sio yule tunayemuabudu sisi sote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…