Don't take things Personal

Don't take things Personal

Binafsi huwa na kiwango changu cha mwisho kuvumilia, kiuhalisia huwa watu wananichukulia mtu mpole sana kinachosikitisha ni hata nikikasirika huwa hawaoni hasira zangu wanaona hado nipo kwenye sura ya upole na ndo hapo huwa nawaumiza japo huwa inatokea mara chache kwa miaka mi 5 inaweza ikatokea mara moja na nikimtia mtu adabu hadi nione damu ndo huwa naacha.
Utakuja kuua masta
 
Baada ya kugundua hilo mapema ndo maana sikuhizi hunikuti nikitukanana na watu humu jukwaani maana mwisho wa siku hawanijui siwajui...unaweza kutaka kuprove kwamba ur right in a wrong way.....
So umeongea ukweli....
Ilaaa kuna maneno kuyavumilia inabidi uwe na kiwango kidogo cha hormone ile inayoshughulika na mambo ya dharura....la sivyo kuvumilia ni ngumu...ila tujitahidi...
Nimeipenda hii
 
Bt you've already said we shouldn't take anything personal irregardless of their nature.

I was just asking for a friend, I don't do masterbation 😂
Ni sahihi lakini ugonjwa una madhara chief,,,na istoshe kuna mazingira yakitokea inabidi ujiongeze

Mfano unakuta sehemu pameandikwa hakuna kupita hapa mara chap simba huyu hapa unadhan utafanyeje? Bilashaka utapita kutokana na dharura iliyopo
 
Wananichosha wale wanaotaka tention kutoka kwangu Kila mara,yaan Kila saa na sekunde aagh sipendi
 
Back
Top Bottom