ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,345
- 8,565
Umeona eeh..! yaani busy, unafua, safisha nyumba sijui kupika mwisho uungue na mafuta, jamani mapenzi haya... hapo bado hujaenda shopping...mara boxer, mara saa, mara mashati ili mradi tu kuonekana umekufa umeoza
we acha tu tunajua kujishughulisha kweli bado hujaenda kufanya udobi kwake tehe tehe tehe tehe