Don't take love too serious

Don't take love too serious

hv unajua kitu kinachoitwa kupenda huwezi kuji control? its either u love someone or u dont lakini kusema kwamba eti utakuwa na mtu alafu upo nusu nusu ili siku akikutenda usiumia hakuna kitu kama hicho, cha msingi linapotokea ujue tu kwamba sio mwisho wa dunia na hutakuwa wakwanza wala wa mwisho kukutwa na situation kama hiyo, umia kwa kuwa huwezi kuyazuia maumivu then kadri siku zinavyozidi kwenda yataisha na utasahau na unaweza pitia situation hiyo kwa mtu zaidi ya mmoja au wawili then ndo anatokea mr or mrs right wa kukufanya uone kwamba kumbe true love ipo
 
Habari zenu kwa wale wa Afrika mashariki na kati mmeamka salama?

Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment.

Na baadhi ya wadada hapa pia wamekuwa wanakuja na thread za kulalamika kuumizwa nikaona si vibaya nikiwakumbusha this slogan.

Unakuta mdada anapenda vibaya in a way that anajiaminisha 100% percent kuwa huyo aliyempata ni wa kufa na kuzikana, anamkabidhi kila kitu moyo, akili, nafsi, figo, bandama hadi na ini.

Ni hapo sasa mambo yasiwe kama alivyotegemea ndio yanatokea haya ya bi dada anatamani hata kuitoa roho yake.

Jamani tupendeni kiasi tu in a way hata mambo yaki turn up side down unabaki normal.

Ni hayo tu

Nimechekaje hapo kwenye bold lakini ni kweli, tunajitoaga sana unakuta mtu anakusanifu tu
 
Kuna Mpwa wangu mmoja huwa napenda sana kusoma signature yake, nimesahau ni nani hasa kama sio Heaven on Earth basi ni ALAydfurahia , ok ok in short ni kwamba sjui kama anakiishi kila alichokiandika, anasema, nikiiona hio signature nitaikopi na kuiweka hapa, alishawahi kunitumia PM ngoja nicheki PM pia.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mabinti wa sikuhizi wanajikabidhi kwa jamaa kirihi na kimwili unampa uamaa kila kitu hadi ile kitu tigo hafu kila wakati unataka akuone kama anaishi mwenyewe utataka uhamie kabisa kwake, ukichokwa unalalamika na kutamani ufe wakati uliyataka mwenyewe.

hilo nalo neno,anakaba hadi penalty hataki mkaka wa watu apumue
 
Ni ngumu kujua asilimia ya mapenzi kwa mtu wakati mapenzi yakiwa on utajua asilimia vyema akiondoka so ni ngumu kusema nimpende kidogo tu

mmh sidhani unakuta mtu anakuwa hadi mtumwa,kila anachoombwa anatoa tu ili kumuim press mwanaume
 
Kumpenda mtu nusu ni impossible nafikiri ushauri mzuri kwa kina dada wasikubali kufanyishwa ngono bila ya uhusiano ambao ni official granted. Huwa inauma sana ukiwaza ulivyompa mtu hadi mwili wako afu ana ku dump. Miili ya wanawake inapaswa kutunzwa na kuheshimiwa sana kama unataka kufaidi ulimwengu wa mapenzi otherwise mtatufungulia uzi hapa kila siku za kulalamika.
 
Umesema nlichokiwaza dk chache zilizopita,na mie mdg wangu hajalala ucku anasingizia kichwa ktk kuchunguza nkagundua boyfrnd wake hajapatikana cku nzima,nkacheka nkajisemea moyon japo angejua mapnz ni karata tatu asingejiendekeza

tehe tehe tehe tehe navyocheka utasema mazuri,yani acha kabisa sms isipojibiwa au simu isipokelewe,then izimwe moyo unasimama kudunda ghafla
 
unapotokea kumpenda m2 ni ngumu sana kuzizuia hisia zako,so labda tungetolewa mioyo ingewezekana coz a true love stay only in your heart

and if it is a true love as u said kwanini inafika muda it doesnt exits any more
 
Back
Top Bottom