Don't take love too serious

Don't take love too serious

Hivi unadhani tunapenda basi??? Unajikuta tu umeshadumbukia mzimamzima.....ukiumizwa ndo unaanza kujuta na kulia plus kuweka viapo vingi lakini ukikutana na mwingine unajikuta unafanya yaleyale yaliyokucost. Sijui kwa nini Mungu aliweka hii kitu inaitwa KUSAHAU

ni kweli kuna kusahau but we have to learn from our past
 
moyo wangu unapenda kama nimekanyga kaa la moto .... kupenda mazima ni kuomba kifo kabla ya mda mbeep si unaingia kama umezaliwa nae....
 
wote wangekua na akiri ka zako, dunia ingeendelea sana... unakuta mdada unaambiwa unapendwa basi unajiaminisha upo mwenyewe, what the f-word!!! kwa kipi hasa ulichonacho!?? sometimes chukulia love as leisure, mambo ya kufika mazima mtakufa mapema!!! men will always be men

well said
 
hv unajua kitu kinachoitwa kupenda huwezi kuji control? its either u love someone or u dont lakini kusema kwamba eti utakuwa na mtu alafu upo nusu nusu ili siku akikutenda usiumia hakuna kitu kama hicho, cha msingi linapotokea ujue tu kwamba sio mwisho wa dunia na hutakuwa wakwanza wala wa mwisho kukutwa na situation kama hiyo, umia kwa kuwa huwezi kuyazuia maumivu then kadri siku zinavyozidi kwenda yataisha na utasahau na unaweza pitia situation hiyo kwa mtu zaidi ya mmoja au wawili then ndo anatokea mr or mrs right wa kukufanya uone kwamba kumbe true love ipo

sawa but we should have some limits kwenye boy friend/gal friend relationships mtu anakuwa committed kupita kiasi utasema wameoana
 
Nimechekaje hapo kwenye bold lakini ni kweli, tunajitoaga sana unakuta mtu anakusanifu tu

we acha tu tunajua kujishughulisha kweli bado hujaenda kufanya udobi kwake tehe tehe tehe tehe
 
  • Thanks
Reactions: ram
and if it is a true love as u said kwanini inafika muda it doesnt exits any more

Hivi mapenz ndo nin kwanza??wanawezaje kumpenda X % alf mktosana unampata Y nae unampenda % hd unamsahau x mara mda kdg Y akizngua nae unatupa kule anazama na Z nae unampenda % alf useme ww ukipenda unapenda truely??
 
Kumpenda mtu nusu ni impossible nafikiri ushauri mzuri kwa kina dada wasikubali kufanyishwa ngono bila ya uhusiano ambao ni official granted. Huwa inauma sana ukiwaza ulivyompa mtu hadi mwili wako afu ana ku dump. Miili ya wanawake inapaswa kutunzwa na kuheshimiwa sana kama unataka kufaidi ulimwengu wa mapenzi otherwise mtatufungulia uzi hapa kila siku za kulalamika.


ungekuwa karibu ningekupa azam cola aisee umeongea mijipoint kweli
 
Back
Top Bottom