Don't take love too serious

Don't take love too serious

Aurora

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
7,308
Reaction score
5,275
Habari zenu kwa wale wa Afrika mashariki na kati mmeamka salama?

Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment.

Na baadhi ya wadada hapa pia wamekuwa wanakuja na thread za kulalamika kuumizwa nikaona si vibaya nikiwakumbusha this slogan.

Unakuta mdada anapenda vibaya in a way that anajiaminisha 100% percent kuwa huyo aliyempata ni wa kufa na kuzikana, anamkabidhi kila kitu moyo, akili, nafsi, figo, bandama hadi na ini.

Ni hapo sasa mambo yasiwe kama alivyotegemea ndio yanatokea haya ya bi dada anatamani hata kuitoa roho yake.

Jamani tupendeni kiasi tu in a way hata mambo yaki turn up side down unabaki normal.

Ni hayo tu
 
Ww humuoni huyo wako ni wa kufa na kuzikana?
 
Ni ngumu kujua asilimia ya mapenzi kwa mtu wakati mapenzi yakiwa on utajua asilimia vyema akiondoka so ni ngumu kusema nimpende kidogo tu
 
Habariiiiiiiiiiii zenu?kwa wale wa afrika mashariki na kati mmeamka salamaaaaaaaaa?

Why i came up with this topic asubui yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment. Na baadhi ya wadada hapa pia wamekuwa wanakuja na thread za kulalamika kuumizwa nikaona si vibaya nikiwakumbusha this slogan.

Unakuta mdada anapenda vibaya in a way that anajiaminisha 100% percent kuwa huyo aliyempata ni wa kufa na kuzikana, anamkabidhi kila kitu moyo,akili,nafsi,figo,bandama hadi na ini.

Ni hapo sasa mambo yasiwe kama alivyotegemea ndio yanatokea haya ya bi dada anatamani hata kuitoa roho yake. Jamani tupendeni kiasi tu in a way hata mambo yaki turn up side down unabaki normal.

Ni hayo tu

Tatizo mabinti wa sikuhizi wanajikabidhi kwa jamaa kirihi na kimwili unampa uamaa kila kitu hadi ile kitu tigo hafu kila wakati unataka akuone kama anaishi mwenyewe utataka uhamie kabisa kwake, ukichokwa unalalamika na kutamani ufe wakati uliyataka mwenyewe.
 
unapotokea kumpenda m2 ni ngumu sana kuzizuia hisia zako,so labda tungetolewa mioyo ingewezekana coz a true love stay only in your heart
 
Umesema nlichokiwaza dk chache zilizopita,na mie mdg wangu hajalala ucku anasingizia kichwa ktk kuchunguza nkagundua boyfrnd wake hajapatikana cku nzima,nkacheka nkajisemea moyon japo angejua mapnz ni karata tatu asingejiendekeza
 
Hivi unadhani tunapenda basi??? Unajikuta tu umeshadumbukia mzimamzima.....ukiumizwa ndo unaanza kujuta na kulia plus kuweka viapo vingi lakini ukikutana na mwingine unajikuta unafanya yaleyale yaliyokucost. Sijui kwa nini Mungu aliweka hii kitu inaitwa KUSAHAU
 
Yakikufika unajiachia tu,kuwa betrayed au uhusiano kwenda kombo ni matokeo tu...
 
utakuwa unapritend na love hainaga kupritend ata ufanyeje ukiachwa utatamani kufa
 
mapenzi sio akili ni hisia.... utajifanya unakaza lakini kama umekufa umekufa tu...
 
habari zenu kwa wale wa afrika mashariki na kati mmeamka salama?

Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment.

out of curiousity...what specifically Happened???
 
mmmhhhh hii hatar asa jaman kwaio tunashauriwa tupende kwa % ngapi kati ya mia
 
wote wangekua na akiri ka zako, dunia ingeendelea sana... unakuta mdada unaambiwa unapendwa basi unajiaminisha upo mwenyewe, what the f-word!!! kwa kipi hasa ulichonacho!?? sometimes chukulia love as leisure, mambo ya kufika mazima mtakufa mapema!!! men will always be men
 
Habari zenu kwa wale wa Afrika mashariki na kati mmeamka salama?

Why i came up with this topic asubuhi yote hii? kuna shostito wangu mmoja ni kama anatamani kufa right this moment.

Na baadhi ya wadada hapa pia wamekuwa wanakuja na thread za kulalamika kuumizwa nikaona si vibaya nikiwakumbusha this slogan.

Unakuta mdada anapenda vibaya in a way that anajiaminisha 100% percent kuwa huyo aliyempata ni wa kufa na kuzikana, anamkabidhi kila kitu moyo, akili, nafsi, figo, bandama hadi na ini.

Ni hapo sasa mambo yasiwe kama alivyotegemea ndio yanatokea haya ya bi dada anatamani hata kuitoa roho yake.

Jamani tupendeni kiasi tu in a way hata mambo yaki turn up side down unabaki normal.

Ni hayo tu

control your LOVE as you control your BUSNESS
use your MIND & not your HEART
 
Back
Top Bottom