Dont Drink With Ya White Friends

Oak

Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
34
Points
0

Oak

Member
Joined Sep 6, 2011
34 0
Imekaa vema mkuu.... Ni kweli lakini ukiangalia kwa undani. Weusi wengi wanapenda kuspend zaid wanasahu kesho nayo ipo. Ndo maana unawaona wengi waliyokuwa nazo baada ya mda wanakuwa masikini kama vile hawajahi kuzishika. Hata hapo Bongo ni hivyox2 tu, tunaangalia zaidi leo tunasahau kesho. Ni wachache wanakumbuka savings/Investments zaidi ya kusema ''nikizipata zaidi ndo nitaanza kusave/kuinvest'' wakati hapo tunanunue magari ya kifahari na kuishi nyumba za gharama za KUPANGA, simu ya millioni moja laki 8, nk ili mradi tu tulete heshima mtaani.

Kazi kwelikweli
 

Forum statistics

Threads 1,390,640
Members 528,220
Posts 34,057,285
Top