TBS: Energy Drinks zisichanganywe na vilevi

TBS: Energy Drinks zisichanganywe na vilevi

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,046
Reaction score
3,704
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dkt. Ashura Katunzi amesema kinywaji cha kuongeza nguvu (energy drink) hakipaswi kuchanganywa na vilevi, bali vinywaji laini, kwani kufanya hivyo ni hatari kwa afya.

 
Back
Top Bottom