Dont drink n drive this weekend

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,947
22,105
Ndugu wapendwa
tukielekea weekend si haba kujulishana tusinywe na kuendesha gari na kama yawezekana
wala akuna haja ya kunywa pombe ushindwe kuendesha gari majuzi nilijiuliza kama kuna watu wanaoweza
kuwa na dhambi ni wachungaji kwa kuwadanganya watu amekufa kwa mapenzi ya mungu jamani sasa
kama umejilewea umejiingiza mwenyewe ukajifia mwenyewe sasa kwa nini wadanganye umeitwa na mungu
mungu gani anahifadhi walevi jamani mungu yupi anaitaji wazinzi no la hasha

kwa wale wenzangu leo kuna mkesha kwa mama rwakatare pale kwa gwajima na kwa mh ndege
pale kawe vyema kama wenzangu wanapowahi kuingia ngwasuma basi na sisi tusiache kuwahi urithi
wa milele kumtukuza mungu muumba

mungu awabariki
 
Asante kwa angalizo,

lakini kumbuka the best rules in case you want to drink is:

walking distance, crawling distance (i.e waliking distance wakati wa kuja bar, na crawling distance wakati tayari umepombeka)

drink at a place where you dont have to cross the road back home
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom