Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Hee! Kwani Mbatia kasema hiyo miaka 25 alikuwa anapambana kwa ajili ya mafanikio yake yeye binafsi??? Embu rudia kupasoma tena...
Uyu n kilaza kwaio kazn yake n kukurupuka na kutetea ata kama n ujinga umeletwa na chama tawala, kahama kabisa kwenye Mada, asante kwa kumuelewesha blaza
 
Asante kwa kumuelewesha uyo kilaza
 

Tulia kawezeshwa tu!!
 
Kidumu kidumu chama cha mapinduziiiiii. Ulikuwa operation gani au kambi gani na mwaka gani kati ya 75-82 kama ni baada ya 80s usichangie sababu Political Science yako ni kubwa kuliko yangu au ni ndogo sana. Tz ya Magufuli anayoiota ni ile sisi watangulizi wake tuliyoipitia. Hairudi kwamwe.
 
Siasa
Nadhani una mtindio wa ubongo, yaani mbunge tena wa kuchaguliwa na kura za wananchi bado unamuita msaga lami?
Ubunge wa kuchaguliwa ama kuteuliwa vyote hali moja. Muulizeni mbatia bunge lililopita alichaguliwa na nani, tusibeze kwa kuwa mteule safari hii ni Tulia na siyo Mbatia. Kuwa na muda wa miaka 25 kwenye siasa haiwezi kuwa kila kitu cha kuwafanya wengine wasiwepo kwenye politiki.
 
Aliyempeleka Tulia pale ni nani? Unadhani wabunge wa CCM wote wanamuunga mkono Tulia?
Aliyempeleka Tulia pale ni kama yule aliyempeleka Mbatia bungeni katika bunge lililopita. Hata wabunge wa upinzani haiwezekani wote wawe wanaunga mkono amri iliyotolewa na mbowe ya kumgomea dk. Tulia. Mkumbo unaotumiwa ccm ni sawa na mkumbo unaotumiwa CDM.
 
Mbatia ni mbunge wa kuchaguliwa na wana wa kiraracha na kambwaga wakala wenu
 



Go back to school kama PhD holder wa kitanzania ni sawa na form four leaver wa Kenya
 
Na we unaona umeongea point
 
Go back to school kama PhD holder wa kitanzania ni sawa na form four leaver wa Kenya


Hahahah lkn best lawyers wa Kenya na Uganda wamesoma UDSM, kwa kifupi sehemu kubwa ya ma elite wa Kenya na Uganda wamesoma (Wanasheria) TZ kama ulikuwa haujui tafuta famous lawyer yoyote unayemjua Kenya au Uganda halafu muulize kasoma wapi?!
Watu kama Amos Wako ambaye ndiye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya na aliyesimamia Katiba mpya ya nchi hiyo, kama Wetangula ambaye ni mmoja kati ya Wanasiasa na Wanasheria wazuri sana wa nchi hiyo amesoma ,,UDSM baby"!
 
Vizur nadhan ameelewa
 
Tz nchi ya ajabu sana.Yani madiwani kuna viti maalumu,Wabunge viti maalumu hadi unaibu spika viti maalumu soon tutakua na raisi viti maalumu.
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Jamani Mbatia kajisemea yaliyo moyoni mwake. Hebu isomeni tena hiyo sentensi yake muone ina mafunzo gani kwa wasomi kama Tulia na kwetu sie mafundi wa kukosoa tuuuu na kuweka mbele zaidi ushabiki wa vyama kuliko utaifa!
Nilivyoielewa sentensi hii, James Mbatia anaeleza kwamba siasa si kupokea posho tu ni zaidi ya hapo. Kwamba wakati Tulia yuko shule wanasiasa nchini walikuwa wanaendesha shughuli za kisiasa zenye tija bila kuwepo posho zozote. Kwa maana hiyo basi wabunge wanaosusia bunge kwao wao posho sio big deal! Kwa sentensi hii Mbatia anadhihirisha uzalendo wake kwa taiga. Hajali kwamba chama chake ndani ya miaka hakina wabunge anachojali ni maslahi ya taiga kwa ujumla wake!
 
Kuelewa mantiki ni kazi sana..Hapo ndo mwisho wako wa kuwaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…