Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!


hahahaha mkuu hizo nyota hapo ni lile jina ambalo sasa wenyewe wamelichukulia hati miliki, halipaswi tena kutajwa kutajwa, kwa hiyo limekuwa sensored...

hahahahaha tanzania bana... dah!!!!
 
huyu mama mbwembwe zooote kapewa kichwa na Chenge kubwa la maadui, maana alimwambia hayuko nyuma yake bali yuko naye bega kwa bega, wana simiyu mmeturudishia kimeo jamani, huyu nyoka wa makengeza amedonoa wengi
 
Maisha hayana cross multiplication ndugu.... kwa umri wako kuna wanao kuzidi cheo na madaraka mno tu... ni suala la chance tu.....
 
Kwenye siasa za Kibunge, wingi ndo kila kitu. Siri pekee iliyopo kwa upinzani ni kuongeza idadi ya wabunge kufikia asilimia ambayo watawala hawawezi kuipuuza. Kwa idadi ndogo ya wabunge wa upinzani hata wakiandamana, wakigomea bunge, wakipiga kelele bungeni, n.k. ni vigumu kuwa na impact. Kumtukana Naibu spika kwamba ni mtoto wa siasa, haitaleta tija yoyote sana sana kutapunguza wanaowaunga mkono. Visa na sababu zilizofanya wabunge watimuliwe vinaeleweka na kuna precedence kibao za kuonesha kuwa wabunge waliofanya yale walifanyiwa nini. Mbinu ya kugomea vikao muhimu vya bunge ina madhara makubwa zaidi kwa wabunge wa upinzani.
Siasa hizi za harakati zina wakati wake, huu si wakati wake!
 

Wewe Una miaka mingapi na umefanikiwa na Kipi?kupiga Picha na Wabunge?
 
Unaijua CCM lakini?
 
Akili za kima hizi
 
Waza kwa akiba kidogo basi
 
Kaanza juzi IPI mkuu? Ni chama gani tulia?
 

Mafanikio ya Mbatia ni kwa wananchi na Taifa,sio kwake bianfsi tu.
 
Inabadilisha nini? Dada Tulia (PhD) ndiye Naibu Spika wa Bunge la JMTZ, Mbatia ni nani? kwanza hata amshukuru Raisi Kikwete kwa kumpa Ubunge wa viti maalumu kama Lucy kamata vinginevyo leo hii angekuwa anabeba mikoba ya fisadi Lowasa au Mbowe!
Inaonekana umezuka hata uelewi nchi inakwenda vipi. Mbatia ni mbunge wa kiteuliwa hivi sasa?
 
Mwenzake sasa ana PHD yeye ananini? Na siasa imemsaidia nn kwa miaka 25 yote? Hajidhangai kuona mtu aliekuwa shule yq msingi sasa ndio kiongoz wake bungeni? Haon aibu hata kusema upupu huo? Ukawa nenden kwa babu Mwasapile Loliondo
 
Ukimuona kobe juu ya mti jua kapandishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…