Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

Mbatia kasema ukweli huyo tulia ni juzi kaingia kwenye siasa na bado hajazifahamu vizuri siasa
Watu wanajisifia mafanikio sio uzoefu, ndiyo maana leo tunapokosa maendeleo chini ya CCM, tunatamani Tanzania iongozwe na chama kikingine. Ingawa CCM ipo siasa miaka mingi, wanapopotea vyama mbada ni pale wanapozoa watu waliochokwa na kuwafanya viongozi waandamizi wa chama, wakisahau CCM ni watu sio jina tu.
 
Ni kweli. Sina taarifa sahihi but nadhani Mbatia 'alitimuliwa na Mwinyi' pale UDSM mwaka 91 baada ya kutokea mgomo wa wanafunzi, mbatia akiwa raisi wa serikali ya wanafunzi.
Hawa wanaotimuliwa vyuoni mara nyingi huwa ni vichwa makini sana wanasimamia wanachokisema na wanachokiamini huwa hawakurupuki kama baba nanii.
 
Kwani kama si kubebana na kulindana kwa ccm Tulia leo angekuwa hapo alipo?
 
Umenichekesha sana EWGM's
Maaana umeobgea ukweli mtupu
Big up !!!!
U made my day
 
People are trying to walk on unfair comparison.
Hvi mbatia na tulia si kama nuru na giza respectively.
Tulia hafanani na mtu isipokuwa na yye mwenyewe
 
Mbatia ukubali husikubali yupo vizuri tu
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James

So mbatia kasota 25yrs bila posho Dr Tulia kamrudisha machunguni. Si waache siasa za kihuni watulie bungeni wajenge hoja iwekwe mezani izungumzwe hapo nitawaona vichwa na sio kukimbia bungeni wanakuja kwa wananchi! Sasa sisi ndio tuende bungeni tukajadili Dr Tulia? Au wanataka kutujaza jaziba tuandamane halafu tushunghulikiwe na dola kwa kuvunja sheria? Hao ni vichwa au wavuruga amani? Mlishachanguliwa pambaneni kwa hoja mjengoni ndio tunalolitarajia. Katiba ya Warioba ingekuwa ilipita tungewafukuza ubunge maana hamtusaidii kazi kusaini posho hewa tu na msipewe kabisaaa labda mtulie bungeni na mchangie hoja.
 
Very poor reasoning. Kwako wewe kuteuliwa na mtu hata ukafikia nafasi ya juu, unaona ni mafanikio? Wenye akili huishi kwa akili na jitihada zao, na siyo kwa kuteuliwa na mtu. Aliyeteuliwa, mara nyingi huwa ni mtumwa wa aliyemteua.
 
Kwa nini asijiunge na CCM?, au hawezi kuchangia ujenzi wa nchi akiwa CCM?
 
Mbatia ukubali husikubali yupo vizuri tu
Nakubariana na wewe, Mbatia yuko vizuri sana, ni mwanasiasa mzuri ila hana mafanikio ya kisiasa. Ndicho watu wanachokiongelea, na sio pesa, majumba ama magari lah hasha.
 
Umakamu wa Rais, uwaziri mkuu au unaibu spika kama wa Tulia, zote ni nafasi za kupewa na mtu. Sidhani kuna cha kujivunia, kama ukiwa kwenye nafasi hizo.
 


tulia ni naibu spika wa bunge lip?! ile pale ni tv tu remote ipo jumba jeupe.
 
Umeishia darasa la ngapi? This is very serious! Mtu anashindwa kuandika angalao hata sentensi moja ya kiswahili iliyo sahihi halafu anaona ana uwezo wa kuchangia. Huyu ni wa kuchukua mafunzo ya KKK (Kuandika, Kusoma na Kuhesabuj).
 
Mbatia kichwa sana.

Ni mwanasiasa wa kweli mno.
Kichwa kwa lipi mkuu????..Yeye anasema hivyo kwa kuwa ZIPO NYINGI ZILE ZA KUMKARIBISHA MZEE UKAWANI....but kwa hawa wabunge wapya ambao ndio wameingia BUNGENI kwa mara ya kwanza hii KAULI LAZIMA IWAUME na mpka sasa wanasikitika sana kwa huu mkumbo wanaoshurutishwa kuufata......WALE WAKUBWA MIFUKO YAO IMETUNA they have nothing to regret so far
 
Yeye ubunge wa kupewa hajui wenzake walivyo upata kwa mbinde.
Unaamuru Nasari atolewe nje na polisi kama mwizi? Uchungu aliopitia Nasari hadi kuwa Mbunge yeye haujui na hatujui yeye kaupata vipi ule ubunge na unaibu wa haraka haraka
tatizo huyo Nasari hafuati kanuni , sheria na taratibu sasa yeye Tulia afanye nini jamani?!?!?!
 
Sasa umeongea nini? Mbatia anakwambia wao wameanza enzi za giza mpaka sasa mwanga,aje mtu toka kutokako hawarudishe gizani? Hajui uko Gizan pakoje yeye anasema.....wamefanyiwa nini uko gizan mapaka hawapataki kwa nguvu zote hata kuacha posho.......
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Kipindi hicho nae alikuwa anafanya nini? Hapana chezea ukishaoteshwa kinyamlani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…