Dongo la Mbatia kwa Dr. Tulia!

hahahhaa u made my morn
 
Were mafanikio ya kisiasa unayapima kwa mtu kupewa unaibu spika? Tatizo humu tunargue ns watu ambao uelewa ni problem
Kwa uzoefu wangu humu wengi wanajiona wanaelewa kuliko wengine, hivi umesoma na kuona alieandika hana uelewa ni kitugani kinachokupelekea kuiijibu hoja yake.
Mafanikio yamegawanyika sasa inategemea tunaongolea mafanikio katika nyanja gani, hata kama umepewa maana ya mafanikio ni kupata.
 
Well Said!!!
 
Uko vizuri.
 
mbunge wa jimbo la ikulu unampa unaibu spika au uspika unategemea nini!Hivi wabunge wa ccm waliompitisha huyu sura ngumu Kuwa naibu spika hawakufahamu ni mbungo wa jimbo la ikulu,yuko tayar kuilinda ikulu.Isitoshe wanawadharau wabunge balaa.Ni muda wa Serikali kulisimamia bunge na sio kinyume chake.
 
Dr tulia ana PHD ya nini vile eti ya sheria Tanzania tuna utani sana kama wasomi wenyewe ndo tulia tuna safari ndefu aliandika kajarida kamoja kipindi anafanya PHD kamesomwa na watu sita tu ndo wasomi wa Tanzania kazi kukimbilia viti maalumu
 
Mwenzake sasa ana PHD yeye ananini? Na siasa imemsaidia nn kwa miaka 25 yote? Hajidhangai kuona mtu aliekuwa shule yq msingi sasa ndio kiongoz wake bungeni? Haon aibu hata kusema upupu huo? Ukawa nenden kwa babu Mwasapile Loliondo
Unajua maana ya PHD tuanzie hapo unaweza nipa definition ya PHD?
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Ni utoto ... akikua ataacha.
 
Ac
Dr tulia ana PHD ya nini vile eti ya sheria Tanzania tuna utani sana kama wasomi wenyewe ndo tulia tuna safari ndefu aliandika kajarida kamoja kipindi anafanya PHD kamesomwa na watu sita tu ndo wasomi wa Tanzania kazi kukimbilia viti maalumu
Acha kubeza, wewe una nini kinachotambulika na nani? Taf. Mupime Dk. Tulia au Msomi mwingine yeyote kwa vigezo vya kisomi na unapopima hakikisha una tools za kumpimia. Usitumie vigezo vya form six failure mbowe kumpima Dk. Tulia. Ndiyo maana Prof. Safari, Baregu huwasikii wakiponda uwezo wa kielimu wa Tulia.
 
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"

Source: Mh Mbati, James
Inawezekana Tulia alikuwa shule ya msingi kipindi huyo jamaa hachukui posho lakini leo Tulia ni PhD holder je yeye?
 
Umeishia darasa la ngapi? This is very serious! Mtu anashindwa kuandika angalao hata sentensi moja ya kiswahili iliyo sahihi halafu anaona ana uwezo wa kuchangia. Huyu ni wa kuchukua mafunzo ya KKK (Kuandika, Kusoma na Kuhesabuj).

Vyovyote nimekuzidi madarasa, huku wanachangia kwa angle zote sio unavyotaka wewe 360 degree hakuna kudumisha fikra za mtu.
 
Akili zako na za wabunge wa ccm hazina tofauti
 
CCM Mna hoja gn za maana mnazodai mnataka wapinzani wawawekee mezani? kipi mbachokubali mkiambiwa ukweli hamtaki kuelewa. mmenyima bunge live mnasema wapinzani wanauza sura waende majimboni. Huko wakienda kufanya mikutano hamtaki mnatuma polisi wawapige mabomu mnataka mtawale nchi hii kwa ubabe mpk lini? ila iko cku mungu atasema imetosha.
 
Very poor reasoning. Kwako wewe kuteuliwa na mtu hata ukafikia nafasi ya juu, unaona ni mafanikio? Wenye akili huishi kwa akili na jitihada zao, na siyo kwa kuteuliwa na mtu. Aliyeteuliwa, mara nyingi huwa ni mtumwa wa aliyemteua.
Umemjibu vizuri sana huyo kipaza sauti wa lumumba
 
Nakubariana na wewe, Mbatia yuko vizuri sana, ni mwanasiasa mzuri ila hana mafanikio ya kisiasa. Ndicho watu wanachokiongelea, na sio pesa, majumba ama magari lah hasha.
Wewe kwako mafanikio kisiasa ni yapi ebu twambie,
 
Umakamu wa Rais, uwaziri mkuu au unaibu spika kama wa Tulia, zote ni nafasi za kupewa na mtu. Sidhani kuna cha kujivunia, kama ukiwa kwenye nafasi hizo.
Hizo nafasi ni lazima uwatumikie na kuwaridhisha walio kupatia hiyo nafasi,tulia hana uwezo wa kusema no kwa aliye mfikisha hapo alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…