Donge lote kunipa nyama mkononi kuonja....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Nani anaijua hiyo nyimbo ya maharusini........?
3.jpg
 
Attachments

  • mbuzi.jpg
    mbuzi.jpg
    19.5 KB · Views: 94
duh jamaa wamemtega simba kwa ulaji huo...ngoja amalize awachenjie!!! thanks boflo!
 
Jamani huyu MBUSI alikuwa anapelekwa kwa MKULU au??? Maana hadi anachekiwa kama ana VIHATARISHI VYA AINA YA MILIPUKO kwa kutumia metal detector???? (Tanzania kuna vimbwanga:)
 
Mkuu usicheze na mbuzi wa Mbagala!
 
Khaaa! Huyo mama nadhani ni wa plastic! Hana damu huyo! Sasa simba angefungua mdomo?
...Ah! Si unaona na Simba ametoa ushirikiano kwanza kamkumbatia kabisa then na yeye akafumba macho kuonyesha hisia....we acha tu...:loco:
 
Watu Mnadanganywa Mapema NYIE. Photoshop hiyo

1..Angalia Miguu ya Simba ilivyo by the law of gravit haiwez kuwa hivyo.

2. Hakuna lirelation kati ya Watu kwenye Gari na Simba hasa hasa hao wa mbele! Mwangalie bibi na babu hapo mbele, simba hawezi kurukia GARI bibi bado ameshikiria steerng! Whenever there is action, there is reaction.

3. Lastly, simba mwenye Njaa anamkamata Binadamu kwanza
 
Boflo hiyo mbona tunafanya sana Serengeti? Ndio maana tuna ushujaa wa kutaka kuwapiga majirani wakorofi
 
Back
Top Bottom