Donge lote kunipa nyama mkononi kuonja....

Huyo atakuwa simba wa kwenye zoo, simba wa ukweli hali mnyma ambae hajamuwinda hata awe na njaa kiasi gani
 
Nani anaijua hiyo nyimbo ya maharusini........?
View attachment 61440

We Boflo...mimi huo wimbo nlijifunzia jkt enzi izo mmepiga zoezi wee..sasa mnapewa mapumziko mnaanza kuimba
"nyama yoote umenipa kidogo mkononi kuonja, X2
kidogo mkononi we -kuonjaa
kidogo mkononi -kuonjaa.
kumbe ni wa maharusi??? Sasa harusini unakuwa na maana gani???!
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom