Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 741
- 281
Kuna ukweli kwenye hiloHuwa kuna msemo wa kuonyesha kuwa mtu fulani "ameshindikana" pale anapoambiwa "Aliyekuloga kisha kufa".
Je, mtu akikuloga na kisha mlozi huyo akafa kabla aliyelogwa hajapona, basi mtu huyo aliyelogwa haezi kupona tena? Kuna ukweli gani juu ya madai au dhana hii?
hahhaha....broh huwa napenda sana haya mambo nawish nimpate mtaalam anijuze zaid
Mbona unakimbia kwa miguu mshana? Panda fagio...
Ni kwasababu ya baridi tu kule kwao.Sijaelewa wachawi Wa kizungu wanasafir na Nguo wakiafrika wanasafiri uchi kwa nn
Nimeshindwa kuvumilia kaka..nimeshindwa kabisa
Kudadekiiii mshana wewe ni mwangaaaaaaaHuwa anabebwa kishirikina
Vita ya kiroho ila una kinga ya kimungu. ..endelea kusimama na Mungu wako watashindwa vibaya wale wabaya wakoSamahani mshana huwa mara nyingi sana. Ninaota ndoto nina paa na ndoto hizo huanza katika mazingira yaku gombana zeni ninafanikiwa kukimbia mwishowe adui akinikaribia nina pasa naomba unieleze Nini maana take
Haiwezekani post zoote za mshana ziwe ni za kishirikina aisee!!! Huyu mshana lazima atakuwa ni mwangaWe Mshana unantisha sasa
Haya mkuu mtaalamu wa stori za kichawichawiiiiiiiSi kweli kabisa naomba badilisha mtazamo kuhusu mimi nina post nyingine nyingi tu zisizohusu ushirikina wala uchawi
Kuna mahusiano hasa tafuta post ya vituko/vibweka vya nyumba za kupanga utapata majibu yote hukoMshana vip hizo ndoto. Zinaweza kuhusiana nanyumba tunazo panga sababu kunamara ninaotandoto ninakemea mapepo mpaka sauti inakwisha then nikifanikiwa kuwanyoshea kiganja cha mkono wangu unatoka Moto mkali nakuwamaliza hususani nikitaja jina la yesu