Msingi_Kiuno
Member
- Feb 22, 2017
- 86
- 123
Lengo langu kusoma kozi ya afya nje ya nchi msaada wa sponsor plz!usiogope jina... sipo tanzania japo ni mtanzania
Scholarship nyingi zinataka TOEFL hebu tupeana uzoefu maandalizi yake na namna ya kujiandaa kwa ujumla
huo mtihan wa kiingereza, wala usiogope... kusoma, kuandika, kuongea na kusikiliza (dialogue)Scholarship nyingi zinataka TOEFL hebu tupeana uzoefu maandalizi yake na namna ya kujiandaa kwa ujumla
hata madem wakali sio wengi.... ha ha ha haaaa.... umenichekesha sana. pesa nzur sana wanatoaBrunei darusalam hapo Shimoni Pesa ipo nchini mwao ila usitegemee vimwana wala Ulabu nchi Hio hawa import pombe aina yoyote wala kutengeneza POMBE huja nazo watalii wenye level ya juu financial
Kiongozi watoto wazuri kiaje? PAKO NA WATOTO WA KIMANGA WA KUTOSHA TU MKUU, dini kali sana uzinifu ni kwa kiwango kidogo mnohata madem wakali sio wengi.... ha ha ha haaaa.... umenichekesha sana. pesa nzur sana wanatoa
Kiongozi watoto wazuri kiaje? PAKO NA WATOTO WA KIMANGA WA KUTOSHA TU MKUU, dini kali sana uzinifu ni kwa kiwango kidogo mno