Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,650
Wanamombea dua ya aina gani! Ya kumlaani afe au ashindwe/ashinde?Viongozi wa afrika wanamuombea dua mbaya sana huyu jamaa,maana akiwa rais watakiona!
Wanamombea dua ya aina gani! Ya kumlaani afe au ashindwe/ashinde?Viongozi wa afrika wanamuombea dua mbaya sana huyu jamaa,maana akiwa rais watakiona!
Wanamuombea ashindwe kwa misimamo yake ya kutaka marais wa afrika wafuate demokrasia na kuachia madaraka,kitu ambacho wengi hawataki kukisikiaWanamombea dua ya aina gani! Ya kumlaani afe au ashindwe/ashinde?
Jamaa anayekukaa je ?Fortunately, I AM NOT A TANZANIAN.
Teh teh teh teh teh😛
Ok
Kama wewe sio M Tanzania then kuna M Tanzania anayekukaa / Kupanda.
Huyo atakuwa na IQ duni na ya kuhurumiwa
HahahaWhaaaaaaat!!
Hahahahahahaha ndio maana.🙂
endelea kujipa moyo.....rudi nyumbani ndugu kabla huyo jamaa hajawa Rais
Kijana! Narudia tena end of the day marekani itatawaliwa na waislamu amini usiamini, huo ndio ukweli
Kijana! Narudia tena end of the day marekani itatawaliwa na waislamu amini usiamini, huo ndio ukweli
Mkuu toka lini Urusi ikawa na interest na ugaidi? Au umekosea kuandika kwani kati ya Urusi na America nani anawakingia kifua IS?
Ahahahaaaa poleni nyie hamjui fitina za hawa white people..kwani nini kinachoendelea congo libya...wamejifanya kumtuma ban kimoon aje apooze mambo kumbe behind the pazia wanachuma na kukamua ngombe kwa kichonganisha😀Mkuu Atakuwa kapitiwa, wakati US ndio inawakinga hawa jamaa
Ahahahaaaaa..kweli kabisa aisee...Kuliko tutawaliwe na wazungu ni bora tutawaliwe na ccm
... kama makufuli vileHiri rimchizi riko poua sana. Riwe rirais watu watie adabu.