Donald Trump amjibu Papa Francis

Donald Trump amjibu Papa Francis

Hili jamaa mengine linaongea kweli. Ila likiwa rais dunia itanyooka.
Nahisi vita ya tatu ya dunia inanukia maana kama huyu jamaa atakuwa raisi basi ajue anapambana na mataifa makubwa kama urusi yenye interest na ugaidi na inapreach sana siasa majitaka na inashindana sana na marekani kuhubiri siasa
Za uongo na za kinyonyaji
 
Trump amjibu Papa

Baada ya Papa kudai mtu anayewaza kuwafungia milango wengine na kuwajengea kuta badala ya kuunga daraja sii mkristo, Trump amekuja juu na kudai kauli hiyo ya Papa ni ya kukosa wema. Akijitetea amesema hakuna kiongozi wa dini mwenye haki ya kuhoji dini au imani ya mtu mwingine. Amesema yeye sii tuu mkristo wa mdomo bali wa vitendo amesisitiza kuwa yeye avuti sigara, anywi pombe, ajawahi gusa miadarati, haapi kwa uongo. Pia amesema katika biashara zake hajawahi tapeli na labda kosa lake ni kusema tuu ukweli ndio dhambi inayomfanya awe sii mkristo. Amemwambia Papa Vatican itakapolipuliwa ndio atasema bora Trump angekuwepo hili lisingetokea.

Majibishano haya yameibuka baada ya Trump kudaiwa kuwatuhumu waisilamu kwa kujilipua na kuwaonya kuwa akiwa rais watafute dunia nyingine ya kwenda kujilipua.

Pia amedai wahamiaji wote haramu siku ya kwanza tuu akiwa rais watafute pakwenda hasa akiwalenga waislamu.
Takwimu zinaonesha Marekani imapokea waislamu 100,000 kila siku.

Mgombea huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa jamii ya watu weupe Marekani aliwatuhumu wamarekani weusi kama jamii ya watu wavivu, wanaojua mapenzi tuu na wezi na akasisitiza katika utawala wake atahakikisha wanabadilika na kufanya kazi.

Pia aliwatuhumu viongozi wa afrika akitumia mfano wa Kenya na Nigeria kama majambazi wanaoibia wananchi wao masikini na wasiojua chochote kuhusu democrasia na utawala bora, waovu wakubwa duniani ambao ukiwataja popote ni kwa mfano mbaya tuu. Akaenda mbali zaidi kwa kusema angeulizwa maoni yake angeshauri Afrika kutawaliwa tena kwa miaka mia maana hawajui demokrasia wala utawala bora.

Katika matokeo ya kura jumapili hii tajiri huyo maarufa anayemiliki majengo makubwa, mahotel na viwanja vya golf na baseball na kumiliki kwa sehemu kubwa mashindano ya urembo duniani miss universe amepata ushindi mkubwa katika mjimbo ya Hampshire na South Carolina.

Mfanyabiashara huyo apata umaarufu kwa kauli zake kuwa sasa ni mwisho wa kauli za kisiasa kuongoza dunia na ni wakati wa ukweli kuongoza. Anasisitiza kuwa siasa ndio inayosababisha Islamic state wawepo.
Huyu Trump buana....
Sasa kama havuti sigara, hanywi pombe na hajawahi kutapeli mbona hajazungumzia kuhusu kurukaruka na vimwana..?
 
Kwa maneno ya Trump kuhusu WAISLAM Kuwangandamiza napinga Miaka Milele mpaka mwisho Wa Dunia hii.Na kuhusu Uislamu utatawala Dunia nzima tutake tusitake,sababu ndo Dini sahihi kabisa Ulimwenguni kote.
Naupenda UISLAMU,
Nawapenda ndugu zangu WAISLAMU,
Nasasa kwa kauli za mzungu huyu D.Trump,Nasema ISLAMIC STATES IN THE WORLDWIDE NA SIO ISLAMIC STATES TO NOWADAYS.
WHERE IS FIRAUN LLAANAH TULLAH AND HIS MOST POWERFUL?
WHERE IS GEORGE BUSH AND FAILED ABOUT ISLAMIC RELIGION WITH HIS HATRED?
WE DON'T DISPAIR ALLAH IS TOGETHER WITH US.
INSHAALLAH.
 
Duuuuh... Hatare
 
Nahisi vita ya tatu ya dunia inanukia maana kama huyu jamaa atakuwa raisi basi ajue anapambana na mataifa makubwa kama urusi yenye interest na ugaidi na inapreach sana siasa majitaka na inashindana sana na marekani kuhubiri siasa
Za uongo na za kinyonyaji
Mkuu toka lini Urusi ikawa na interest na ugaidi? Au umekosea kuandika kwani kati ya Urusi na America nani anawakingia kifua IS?
 
Kauli zake niinzito nazenye msimamo wahatali mno ktk. Dunia. Kauliizo. Zinaweza kupunguza. Ugaidi au zikaongeza zaidi ukweli ugaidi nijambo baya tenalahatali. Zaidi Lakini kuzuia waislam kuingia marekani nihatali. Nyingine. Kuusu. Demoklasia Africa ukweli. Bado. Hakuna. Demokrasia uondio ukweli watuwanatawala myaka therathin watuwanalisishana madaraka akuna demokrasia nawala atamimi. Mimisioni. Umuhim. Wakwenda. Kupanga. Foreni. Etii. Kupiga kura
Mkuu umekiona lakini ulichotuandikia hapo juu ila Mungu atatulipia kwa unayotufanyia wasomaji.
 
Mkuu toka lini Urusi ikawa na interest na ugaidi? Au umekosea kuandika kwani kati ya Urusi na America nani anawakingia kifua IS?
obama na putin wote wanainterest na ugaidi. trump kasema no
 
Trump amjibu Papa

Baada ya Papa kudai mtu anayewaza kuwafungia milango wengine na kuwajengea kuta badala ya kuunga daraja sii mkristo, Trump amekuja juu na kudai kauli hiyo ya Papa ni ya kukosa wema. Akijitetea amesema hakuna kiongozi wa dini mwenye haki ya kuhoji dini au imani ya mtu mwingine. Amesema yeye sii tuu mkristo wa mdomo bali wa vitendo amesisitiza kuwa yeye avuti sigara, anywi pombe, ajawahi gusa miadarati, haapi kwa uongo. Pia amesema katika biashara zake hajawahi tapeli na labda kosa lake ni kusema tuu ukweli ndio dhambi inayomfanya awe sii mkristo. Amemwambia Papa Vatican itakapolipuliwa ndio atasema bora Trump angekuwepo hili lisingetokea.

Majibishano haya yameibuka baada ya Trump kudaiwa kuwatuhumu waisilamu kwa kujilipua na kuwaonya kuwa akiwa rais watafute dunia nyingine ya kwenda kujilipua.

Pia amedai wahamiaji wote haramu siku ya kwanza tuu akiwa rais watafute pakwenda hasa akiwalenga waislamu.
Takwimu zinaonesha Marekani imapokea waislamu 100,000 kila siku.

Mgombea huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa jamii ya watu weupe Marekani aliwatuhumu wamarekani weusi kama jamii ya watu wavivu, wanaojua mapenzi tuu na wezi na akasisitiza katika utawala wake atahakikisha wanabadilika na kufanya kazi.

Pia aliwatuhumu viongozi wa afrika akitumia mfano wa Kenya na Nigeria kama majambazi wanaoibia wananchi wao masikini na wasiojua chochote kuhusu democrasia na utawala bora, waovu wakubwa duniani ambao ukiwataja popote ni kwa mfano mbaya tuu. Akaenda mbali zaidi kwa kusema angeulizwa maoni yake angeshauri Afrika kutawaliwa tena kwa miaka mia maana hawajui demokrasia wala utawala bora.

Katika matokeo ya kura jumapili hii tajiri huyo maarufa anayemiliki majengo makubwa, mahotel na viwanja vya golf na baseball na kumiliki kwa sehemu kubwa mashindano ya urembo duniani miss universe amepata ushindi mkubwa katika mjimbo ya Hampshire na South Carolina.

Mfanyabiashara huyo apata umaarufu kwa kauli zake kuwa sasa ni mwisho wa kauli za kisiasa kuongoza dunia na ni wakati wa ukweli kuongoza. Anasisitiza kuwa siasa ndio inayosababisha Islamic state wawepo.

1. Anasisitiza kuwa siasa ndio inayosababisha Islamic state wawepo
2. Amemwambia Papa Vatican itakapolipuliwa ndio atasema bora Trump angekuwepo hili lisingetokea.
3. sasa ni mwisho wa kauli za kisiasa kuongoza dunia na ni wakati wa ukweli kuongoza

NAKUBALIANA NA DONALD KATIKA HIZO POINTS TATU
 
Hiri rimchizi riko poua sana. Riwe rirais watu watie adabu.
 
Trump amjibu Papa

Baada ya Papa kudai mtu anayewaza kuwafungia milango wengine na kuwajengea kuta badala ya kuunga daraja sii mkristo, Trump amekuja juu na kudai kauli hiyo ya Papa ni ya kukosa wema. Akijitetea amesema hakuna kiongozi wa dini mwenye haki ya kuhoji dini au imani ya mtu mwingine. Amesema yeye sii tuu mkristo wa mdomo bali wa vitendo amesisitiza kuwa yeye avuti sigara, anywi pombe, ajawahi gusa miadarati, haapi kwa uongo. Pia amesema katika biashara zake hajawahi tapeli na labda kosa lake ni kusema tuu ukweli ndio dhambi inayomfanya awe sii mkristo. Amemwambia Papa Vatican itakapolipuliwa ndio atasema bora Trump angekuwepo hili lisingetokea.

Majibishano haya yameibuka baada ya Trump kudaiwa kuwatuhumu waisilamu kwa kujilipua na kuwaonya kuwa akiwa rais watafute dunia nyingine ya kwenda kujilipua.

Pia amedai wahamiaji wote haramu siku ya kwanza tuu akiwa rais watafute pakwenda hasa akiwalenga waislamu.
Takwimu zinaonesha Marekani imapokea waislamu 100,000 kila siku.

Mgombea huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa jamii ya watu weupe Marekani aliwatuhumu wamarekani weusi kama jamii ya watu wavivu, wanaojua mapenzi tuu na wezi na akasisitiza katika utawala wake atahakikisha wanabadilika na kufanya kazi.

Pia aliwatuhumu viongozi wa afrika akitumia mfano wa Kenya na Nigeria kama majambazi wanaoibia wananchi wao masikini na wasiojua chochote kuhusu democrasia na utawala bora, waovu wakubwa duniani ambao ukiwataja popote ni kwa mfano mbaya tuu. Akaenda mbali zaidi kwa kusema angeulizwa maoni yake angeshauri Afrika kutawaliwa tena kwa miaka mia maana hawajui demokrasia wala utawala bora.

Katika matokeo ya kura jumapili hii tajiri huyo maarufa anayemiliki majengo makubwa, mahotel na viwanja vya golf na baseball na kumiliki kwa sehemu kubwa mashindano ya urembo duniani miss universe amepata ushindi mkubwa katika mjimbo ya Hampshire na South Carolina.

Mfanyabiashara huyo apata umaarufu kwa kauli zake kuwa sasa ni mwisho wa kauli za kisiasa kuongoza dunia na ni wakati wa ukweli kuongoza. Anasisitiza kuwa siasa ndio inayosababisha Islamic state wawepo.

Kwa hapa Trump amesema kweli tupu. Namuunga mkono kwa asilimia 200.
 
Viongozi wa afrika wanamuombea dua mbaya sana huyu jamaa,maana akiwa rais watakiona!
 
Back
Top Bottom