Donald Trump amjibu Papa Francis

Donald Trump amjibu Papa Francis

Mkuu swali hujajibu lakini kwamba hiyo sensa inayoonyesha kwamba waislam hapa bongo ni zaidi ya 70% ilifanyika lini na nani aliifanya, pia nakushangaa kidogo unaposema kuwa wakristo nao wanaweza kupeleka mashauri yao kwenye mahakama ya kadhi wakati mahakama hiyo huwa inashughulikia masuala ya waislam pekee na katu haiwezi kushughulika na mambo ya wasio kuwa waislam!! Nakushangaa!!
 
Wamarekani wasifanye makosa kumpoteza Trump... Waafrika tunahutaji zaidi ya wamarekani wenyewe...
 
uploadfromtaptalk1456586202210.jpg
 
Kauli zake niinzito nazenye msimamo wahatali mno ktk. Dunia. Kauliizo. Zinaweza kupunguza. Ugaidi au zikaongeza zaidi ukweli ugaidi nijambo baya tenalahatali. Zaidi Lakini kuzuia waislam kuingia marekani nihatali. Nyingine. Kuusu. Demoklasia Africa ukweli. Bado. Hakuna. Demokrasia uondio ukweli watuwanatawala myaka therathin watuwanalisishana madaraka akuna demokrasia nawala atamimi. Mimisioni. Umuhim. Wakwenda. Kupanga. Foreni. Etii. Kupiga kura
Dah,ndugu jifunze kwanza mpangilio wa kuandika maana vituo kila sehemu hadi uvivu wa kusoma ase.
 
Waafrika tujikomboe tena kutoka ktk ukoloni Wa kivitendo na kifikra lakini sio kwa kupitia kwa hawa viongozi vibaraka wa kiafrika. Kama hatutaweza Fanya ivyo basi tutaendelea kuwa watumwa wa kifikra na kukoloniwa hadi mwisho wa dunia. Mnaosema Trump akishinda dunia itakaa sawa, mtakuwa mnaota ndoto za mchana kweupe.
Ni sawa na wale waliosema kenya itafaidi baada ya obama kuwa rais wa marekani kwa sababu tu obama ni mkenya, kumbe wapi.
 
Adolf Hitler alianza hivi hivi mwishowe mliuona jamaa hafai kabisa.
 
Hakuna kwamba kesho itakuwa bora kesho itakuwa afadhali ya Jana. Unabii unasema.Sikh za mwisho kutakuwa na Nyakati za hatari
 
Tramp akipata baraka za kuongoza USA kama haitakuwa mwisho wa muungano wa USA na kusababisha USA kusambaratika basi itakuwa mwanzo mzuri wa taifa hilo tajiri na lenye nguvu za kijeshi na kiuchumi kuanza machafuko na hatimae kusambaratika.
Ingawa siamini kama atathubutu kutimiza yale aliyo yatamka ktk hotuba zake hizi ktk kampeni hasa hili la kuwatimuwa wahamiaji hassa waisla waishio USA.
Na pindi akisimamia kauli zake kwa vitendo hapo ndio atakopo jijengea maadui zaidi wa ndani na nje na atapata upinzani wa kila aina ya makundi hasa ya ndani ya USA bila kujali dini wala rangi raiya wa USA watampinga kwa kila aina yakiwepo maadamano na mijadala migumu ktk mabunge.
 
Trump amjibu Papa

Baada ya Papa kudai mtu anayewaza kuwafungia milango wengine na kuwajengea kuta badala ya kuunga daraja sii mkristo, Trump amekuja juu na kudai kauli hiyo ya Papa ni ya kukosa wema. Akijitetea amesema hakuna kiongozi wa dini mwenye haki ya kuhoji dini au imani ya mtu mwingine. Amesema yeye sii tuu mkristo wa mdomo bali wa vitendo amesisitiza kuwa yeye avuti sigara, anywi pombe, ajawahi gusa miadarati, haapi kwa uongo. Pia amesema katika biashara zake hajawahi tapeli na labda kosa lake ni kusema tuu ukweli ndio dhambi inayomfanya awe sii mkristo. Amemwambia Papa Vatican itakapolipuliwa ndio atasema bora Trump angekuwepo hili lisingetokea.

Majibishano haya yameibuka baada ya Trump kudaiwa kuwatuhumu waisilamu kwa kujilipua na kuwaonya kuwa akiwa rais watafute dunia nyingine ya kwenda kujilipua.

Pia amedai wahamiaji wote haramu siku ya kwanza tuu akiwa rais watafute pakwenda hasa akiwalenga waislamu.
Takwimu zinaonesha Marekani imapokea waislamu 100,000 kila siku.

Mgombea huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa jamii ya watu weupe Marekani aliwatuhumu wamarekani weusi kama jamii ya watu wavivu, wanaojua mapenzi tuu na wezi na akasisitiza katika utawala wake atahakikisha wanabadilika na kufanya kazi.

Pia aliwatuhumu viongozi wa afrika akitumia mfano wa Kenya na Nigeria kama majambazi wanaoibia wananchi wao masikini na wasiojua chochote kuhusu democrasia na utawala bora, waovu wakubwa duniani ambao ukiwataja popote ni kwa mfano mbaya tuu. Akaenda mbali zaidi kwa kusema angeulizwa maoni yake angeshauri Afrika kutawaliwa tena kwa miaka mia maana hawajui demokrasia wala utawala bora.

Katika matokeo ya kura jumapili hii tajiri huyo maarufa anayemiliki majengo makubwa, mahotel na viwanja vya golf na baseball na kumiliki kwa sehemu kubwa mashindano ya urembo duniani miss universe amepata ushindi mkubwa katika mjimbo ya Hampshire na South Carolina.

Mfanyabiashara huyo apata umaarufu kwa kauli zake kuwa sasa ni mwisho wa kauli za kisiasa kuongoza dunia na ni wakati wa ukweli kuongoza. Anasisitiza kuwa siasa ndio inayosababisha Islamic state wawepo.
Trump ni mjinga tu. Hawezi kusema afrika itawaliwe tena kwa mantiki ya demokrasia. Kwani Amerika ina demokrasia gani? demokrasia ya matajiri?
Mshenzi huyo jamaa. Aje tu atakutana na kisiki cha mpingo mzee mzima Magufuli. Obama mwenyewe kamasi zimemtoaka
 
Wala mimi simshangai huyo Trump! Republican through all history sera zao ni Vita.
 
Back
Top Bottom