Kilala Makusaro
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 688
- 382
Trump amjibu Papa
Baada ya Papa kudai mtu anayewaza kuwafungia milango wengine na kuwajengea kuta badala ya kuunga daraja sii mkristo, Trump amekuja juu na kudai kauli hiyo ya Papa ni ya kukosa wema. Akijitetea amesema hakuna kiongozi wa dini mwenye haki ya kuhoji dini au imani ya mtu mwingine. Amesema yeye sii tuu mkristo wa mdomo bali wa vitendo amesisitiza kuwa yeye avuti sigara, anywi pombe, ajawahi gusa miadarati, haapi kwa uongo. Pia amesema katika biashara zake hajawahi tapeli na labda kosa lake ni kusema tuu ukweli ndio dhambi inayomfanya awe sii mkristo. Amemwambia Papa Vatican itakapolipuliwa ndio atasema bora Trump angekuwepo hili lisingetokea.
Majibishano haya yameibuka baada ya Trump kudaiwa kuwatuhumu waisilamu kwa kujilipua na kuwaonya kuwa akiwa rais watafute dunia nyingine ya kwenda kujilipua.
Pia amedai wahamiaji wote haramu siku ya kwanza tuu akiwa rais watafute pakwenda hasa akiwalenga waislamu.
Takwimu zinaonesha Marekani imapokea waislamu 100,000 kila siku.
Mgombea huyo ambaye amejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa jamii ya watu weupe Marekani aliwatuhumu wamarekani weusi kama jamii ya watu wavivu, wanaojua mapenzi tuu na wezi na akasisitiza katika utawala wake atahakikisha wanabadilika na kufanya kazi.
Pia aliwatuhumu viongozi wa afrika akitumia mfano wa Kenya na Nigeria kama majambazi wanaoibia wananchi wao masikini na wasiojua chochote kuhusu democrasia na utawala bora, waovu wakubwa duniani ambao ukiwataja popote ni kwa mfano mbaya tuu. Akaenda mbali zaidi kwa kusema angeulizwa maoni yake angeshauri Afrika kutawaliwa tena kwa miaka mia maana hawajui demokrasia wala utawala bora.
Katika matokeo ya kura jumapili hii tajiri huyo maarufa anayemiliki majengo makubwa, mahotel na viwanja vya golf na baseball na kumiliki kwa sehemu kubwa mashindano ya urembo duniani miss universe amepata ushindi mkubwa katika mjimbo ya Hampshire na South Carolina.
Mfanyabiashara huyo apata umaarufu kwa kauli zake kuwa sasa ni mwisho wa kauli za kisiasa kuongoza dunia na ni wakati wa ukweli kuongoza. Anasisitiza kuwa siasa ndio inayosababisha Islamic state wawepo.