Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,564
Hatua ya kwanza:Chai.
Pesa haina dini,na pesa hubadilika majina kutokana na matumizi, hata pesa ya rushwa kuna muda inaitwa takrima au asante!!Wagalatia kwa kupenda sadaka, mkisikia mtu ana hela mnataka awape sadaka bila kujali ni mfuasi wa muddy au muuza madawa ya kulevya. Nyie mnaangalia hela tuu acheni tamaa.
Ulivyoona ukapigia mstari......... wazee wa trust me broooo....Hatua ya kwanza:
View: https://www.youtube.com/watch?v=o8UonKZ68A8Hatua ya pili:
View: https://youtu.be/1zOhcsecoVoHatua ya tatu
:https:
View: https://youtu.be/iU2jfFmRDfkHatua ya mwisho
:
View: https://www.youtube.com/watch?v=Bs18vR_OF4I
π π π Nimeweka na kupangilia haya matukio kwa muda au chronological order yani hatua kwa hatua. Kila kitu kipo mitandaoni watu wanasahau lakini data zote zipo. Kiwanda cha ngozi Morogoro alipewa miaka miwili baada ya uzinduzi wa Taifa Gas(hela ilipoanza kuingia).
Sijapigia mstari leta ushahidi hapa kuwa Rostam alikuwepo nchini kabla mdogo wake hajafunguliwa kesi ya ujangili.Ulivyoona ukapigia mstari......... wazee wa trust me broooo....
Nakubaliana na wewe hakuwepo kilichomleta ni mdogo wake na baada ya kupiga picha ikulu na kumpongeza jpm mambo ya kesi ya mdogo wake yakaisha hayakuwahi tangazwa tenaSijapigia mstari leta ushahidi hapa kuwa Rostam alikuwepo nchini kabla mdogo wake hajafunguliwa kesi ya ujangili.
Tatizo nchi inaongozwa kishabiki na siasa imekuwa kishabiki. Watanzania inabidi tuamke tufutilie mambo kwa facts na si ushabiki.Nakubaliana na wewe hakuwepo kilichomleta ni mdogo wake na baada ya kupiga picha ikulu na kumpongeza jpm mambo ya kesi ya mdogo wake yakaisha hayakuwahi tangazwa tena
Sio kweli, Da es salaam ulikuwa mji wa Waislam na Waswahili zamaniNdio kwasababu Dar es salaam ni mji wa kiislamu ndo maana unaona majina ya waislam yanajirudia rudia ni sawa ni kunasibisha wakristo wa makete na uchawi
Mbona waislam wengi sana maana kinondoni Manzese,Ilala, Temeke kote huko wamejaa wakristo wamejaa Kimara, Mbezi na ChanikaSio kweli, Da es salaam ulikuwa mji wa Waislam na Waswahili zamani
Lakini kwakuwa walikuwa wadhaifu na wavivu wa kusoma na kufanya kazi maisha yakawahamisha na sasa wapo mbali huko kisarawe, pugu n.k na hata Pwani huko na hasa Bagamoyo wanaondolewa
Wachache waliobaki ndio hawa wanaotegemea Uganga, kuuza madawa ya kulevya na kurithi nyumba za familia ambazo pia zinanunuliwa kila siku na Wachaga, Wahindi na Wakinga
Wewe ni Muislam Mswahili wa Dsm?
Babu Chonchi katoka kitambo mbona yupo bioz huko
karibu na makazi ya iddy azan...?Si unajua Ile nyumba ya pembeni ni ya kwao na ndo alipozaliwa pale na kainunua ikisha kawaambia ndugu zake wasitoke fedha tamu bwana [emoji28]
Naamini walicooperate, wamewataja wakubwa zao na njia zao in exchange kwa kupunguziwa muda. Au labda sielewi naona kama wamekaa muda mfupi sana.Shikuba mbona yuko nje muda kidogo, kijana wake Tikotiko naye yuko kitaa muda pia.. salama yake ni kwenda kuhukumiwa USA, angejaa kwa yule Mwamba JPM angenyolewa kama yule mwenzie wa Tanga Yanga Omar.. JPM ndiye alikuwa kiboko yao hawa.
Sasa hivi mdebwedo tu, naamini siku si nyingi yule jamaa wa migomigo kingpin mwingine Chonchi naye atakuwa huru maana mpaka sasa hajahukumiwa, naona wanatafuta njia wamteme.
Vijana kwasasa wanabinjuka tu, ni kama lango liko wazi, njia zote zinapitika.
Sema sasa hivi anafanya kama informant sio? Siamini kama unaweza kuachwa alafu urudi kishkaji tu. Naamini wanatumika na hilo ni moja ya deal walicut na mamlaka.Tiko aliwahi kutoka mapema sana yeye alikaa mwaka na miezi kama 7 hivi we unadhani ameacha kufanya hii biashara yenye Asali ya utamu
Sema sasa hivi anafanya kama informant sio? Siamini kama unaweza kuachwa alafu urudi kishkaji tu. Naamini wanatumika na hilo ni moja ya deal walicut na mamlaka.
Haya ni mawazo yangu tu.
Naamini walicooperate, wamewataja wakubwa zao na njia zao in exchange kwa kupunguziwa muda. Au labda sielewi naona kama wamekaa muda mfupi sana.
Well detailed mkuu asanteNdio hukumu iliyotoka USA, USA hizi kesi sio issue kama huku, ndio maana waliforce waende kunyolewa USA.
USA utafungwa miaka mingi tu kama uko involved na kidnaping and murdering of people within either the business circle au nje ya circle wale informer na wanoko wengine.
Elchapo na swaiba wake Zambada wanaweza kuozea jela maana wameua, wameumiza na kuteka watu wengi sana, lakini pia wanaendesha mtandao mkubwa sana ndani ya USA yaani wao ni kingpins ndani ya USA japo waliishi Mexico, lakini wana franchise all over Europe.
Shikuba na kijana wake Tikotiko ni just smuggler tu wanaotegemea mabosi huko USA na kwingineno lakini sio kingpins kiviiile huko ughaibuni, kwa hapa Bongo, YES jamaa alikuwa one of the god father, SA pia ni smuggler tu just a smuggler tu mwenye connection na some kingmakers.
It's dangerous to be informer, maana kutoa siri za wale tycoon maana yake umejihukumu kifo.
Inasemekana mtoto wa Elchapo ndiye alimuuza Zambada ( the co-founder and one of the tycoon in Sinaloa cartel) kwa DEA ya USA na FBI jamaa akajaa nyavuni, hii ilileta shida sana Mexico na Kwa usalama wa dogo inabidi aendelee kukaa jela USA, japo nao walikuwa wanamshutuma Zambada kwa kumuuza Elchapo kwa USA.
Underworld life is very dangerous to be the snitch/informer maana hukumu yake ni kifo na unakuwa the working dead body.
All in all life is good kwa wauza roho, they are shining in town and making our sisters enjoy the holidays, uncountable vacations in Dubai, turkey etc.. the music industry is booming now, wasanii usanii unalipa sasa, nchi imefunguka. Cheers.
the music industry is booming now, wasanii usanii unalipa sasa, nchi imefunguka. Cheers.π«‘π«‘π«‘π«‘Ndio hukumu iliyotoka USA, USA hizi kesi sio issue kama huku, ndio maana waliforce waende kunyolewa USA.