Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Haipendezi sana kuanika mambo yako binafsi mtandaoni. Kila mtu ana shida zake, kuskiza shida zako haitusaidii. Pambana na issue zako usitafute huruma za watu maana hazikusaidii.

Utapewa support kwa njia ya 'comments na likes' lakini sio kwa vitendo
 
Ndio wewe mkuu Don Nalimison? karibu sana Tandahimba
 
Aaah kumbe ndiye wewe huyu? Ndiyo maana una taahira ya akili, hicho kichwa kilivyo-protrude kuna ubongo umefinyangwafinyangwa humo! Jitahidi uende MOI warekebishe hiyo mifupa ya fuvu!
 
Hicho kichwa kilivyokaa inaonyesha ubongo ndiyo basi tena. Mkuu unatia huruma sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…