Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Don umetuangusha wafuasi wako tulishaanza kuuzoea muonekano wako mpya wa pama matata na mawani ya nginjanginja, imekuwaje tena?

Btw ulitumia gharama kiasi gan kupata huu muonekano matata?

IMG_20200725_194511.jpg
 
Hauko serious ww, Kila kitu unakihusisha na siasa tu! Mimi ni ccm damu damu lakini sikupata pia mshahara, na hivyo kwa masikitiko makubwa sana serikali yangu na nchi yangu imekosa P.AY.E, Kodi nayokatwa kuchangia taifa langu Kila napolipwa mshahara!
Hivyo mleta maada acha kubwabwacha, wengine tuna hasira kwa kushindwa kulipa Kodi (PAYE) kwa akili ya kuipaisha nchi yetu kwenye uchumi wa juu kabisa ebo:mad::mad::mad::mad:!
Uligombea?
 
Jamaa yupo vizuri, kuanzia CDM alifanya vizuri, akahamia NCCR, napo alifanya vizuri hadi akawa mwenezi wa umoja wa vijana. Then baada ya hapo sijui nini kilimtokea, maana alipoenda Mwanza kufundisha ndio kuna mambo flani flani yakaonekana hayaendi poa kwake. Ila yupo vizuri huyu jamaa, siyo wa kumchukulia poa.
Kabisa... Nashanga watu Wana chukulia poa

Ova
 
Jamaa yupo vizuri, kuanzia CDM alifanya vizuri, akahamia NCCR, napo alifanya vizuri hadi akawa mwenezi wa umoja wa vijana. Then baada ya hapo sijui nini kilimtokea, maana alipoenda Mwanza kufundisha ndio kuna mambo flani flani yakaonekana hayaendi poa kwake. Ila yupo vizuri huyu jamaa, siyo wa kumchukulia poa.

Mavigogo Uchwara ya Mwanza ni Machawi.
 
Back
Top Bottom