Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Ukiwa na watu wengi wasioiogopa serikali namna hii, nchi lazima itapiga maendeleo, hata kama wataonekana ni vichaa...
Anyhow, Don Nomlison, kwani ulifungwa jela muda gani?
Tulikuwa tunaandaa ya kukufukuza hata usiandike, maana lazima tukufukuze
Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua
Nukuu safi. Nilikuwa sijawahi kuisikia hii mahali po pote. Kila la heri Mtemi Nalimison katika harakati zako
Heko.
Kwenye barua yako ukumbuke kuambatisha mshahara wa mwezi mmoja.
Nakutakia kila la heri.
By Mkurugenzi wa Jiji
Mtoto wake mmoja alichukuliwa na JiniWatoto wako wanajua unachokifanya humu JF?
Kila siku uonewe wewe tu??????Wakati watumishi wote
Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa kazi.
Kwa ujinga huu Jumatatu nitaandika barua ya kuacha kazi Utumishi wa Umma(SERIKALINI) ndani ya saa 48, kuelekea Halmashauri ya Jiji la Mwanza. #DON NALIMISON(Deo Kisandu wa zamani). Namsinifatilie kwenye mipango yangu.
Ndimi:
DON NALIMISON.
View attachment 1516515
Jamaa yupo vizuri, kuanzia CDM alifanya vizuri, akahamia NCCR, napo alifanya vizuri hadi akawa mwenezi wa umoja wa vijana. Then baada ya hapo sijui nini kilimtokea, maana alipoenda Mwanza kufundisha ndio kuna mambo flani flani yakaonekana hayaendi poa kwake. Ila yupo vizuri huyu jamaa, siyo wa kumchukulia poa.Jamaa we ni mbishi ngoma ngumu
Ila usikate tamaa utafika tu pale unapopatafuta
Ova