Domo zege linatesa moyo wangu

Domo zege linatesa moyo wangu

Mdada YOYOTE ukiwa unapiga naye stori ukimwambia neno nakupenda yeye mwenyewe akakuletea stori za mahusiano utajikuta udomo zege unaisha
 
Ni takriban miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae,kila nikijaribu kutaka kumtongoza demu nashindwa hata nianzeje,nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona km ninalazimisha
Nianzeje ili na mm nimweze kutongoza na kufanikiwa??
Hili game haufundishwi wala halina formula. Ukikuta kifaa ambacho moyo wako utakataa kukiachia basi utafanya moves zaki domo zege na utampata tu. Usiogope kuhusu umri wa miaka 28 kuna wajinga wapo 40s kutongoza bado 0.
 
Acha uoga kijana mtoto wa kiume sifa yake ni kujiamini umemuona binti na unampenda mfate mweleze kwamba unampenda mambo yatakuwa poa,ona sisi wenzako umri umesha tutupa mkono lakini bado tunajilia vitamu
0c7d53523b02f2ea8f4f6d6cb1045aaf.jpg
Huyo bint anashka dudu la Mzee Au
 
Haya mambo hayana formula. Approach yoyote utakayotumia ili Ujumbe umfikie muhusika bila kumkwaza is ok
 
Kuna njia kuu mbili za kumpata mwanamke
1. TPF
2. PPT
Kwa udomo zege ulonao, njia ya pili itakufaa zaidi
 
Wewe mpe hela tu...huo ndio uchawi wa kizungu....Nakwambia utakuwa handsome boy ghafla.
 
Ni takriban miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae,kila nikijaribu kutaka kumtongoza demu nashindwa hata nianzeje,nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona km ninalazimisha
Nianzeje ili na mm nimweze kutongoza na kufanikiwa??
Hiyo pia ni njia mojawapo ya kutongoza
Watakuja pm
 
Ni takriban miaka 28 tangia kuzaliwa kwangu, imefika hatua sasa ninahitaji mwenzangu wa kuishi nae,kila nikijaribu kutaka kumtongoza demu nashindwa hata nianzeje,nikijaribu kusalimia hata salam kuitikia naona km ninalazimisha
Nianzeje ili na mm nimweze kutongoza na kufanikiwa??
Itakuwa unagusa pasipo gusika!
 
Duh watu wana matatizo duniani!!
Hata kutongoza pia ni tatizo?
Mbona sikufundishwa hili, wakati ulipofika nilijikuta nawapata natafuna tu bila wasiwasi
Mkuu tafuta maneno mazuri watoto wa kike ni kwa ajili yetu
 
Tupo wengi mie sijawah tongoza na ilo Jambo sijawah kuliweza mpaka kesho ila nimezitafuna sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom