Domo zege linanitesa jamani

Kwa hali hii jipongeze maana wanaojua kutongoza wanakubaliwa ila ikifika inshu ya kuwapa pesa madem zao wanarudi kujutia kwa nini walitongoza
 
Kama ndio hivyo huyo mtoto umempataje? Maana naona unaitwa 'baba dullah'. Au mwenzetu uliteleza ukadondokea papuchi mambo yakajipa?
 
ni kweli kwenye mitandao kuna mengi utakutana nayo ila sasa kwa huyu mleta mada ana tatizo aisee...nilisema ajimwage kule ili ajenge uzoefu na kujiamini namna ya kuwatokea na kuwatongoza wanawake..hapo ajipige tuition ya kutosha akija uraiani usiwe tena domo zege
 
Dogo subiri uoe,achana na tamaa za kugegeda na huna hata maisha.
 
Huyo mtoto wako Dulla ulimpataje kama huwezi kutongoza!? Tuanzie hapo.

 
Mungu amekusaidia Sana ila utapata wako ila uache uzinzi na kuwaka tamaa
 
Haya maisha bwana mm hata dem wang wakwanza simkumbuki ww bado hujui akati mm nmeanzia kibaba na mama
Nmeanza kuonga zaman izi pensel sijui kifutio mala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…