Domo zege linanitesa jamani

Nitafanyia kazi
 
Nitafanyia kazi
 
Piga nyeto
 
Mkuu umeongelea hapo kwenye mitandoa kiukweli hawa wadada tunaowaona/kuchat nao kwenye mitandao sivyo walivyo ukionana naye mubashara ni wa bovu hatari mimi ni mhanga japo huwa hawahitaji maneno mengi, mkisha chat naye tu mkakubaliana kukutana hapo hata huhitaji tena kuongea hususani mitandao ya fb IG.
 
Kudadeki Nitakua kitombi mwaka huu
 
Ukiona mtu mmoja ana tatizo x bac ujue kuna watu 1,000,000 wana ilo tatizo x
Hauko peke yako mkuu
 
Pole mkuu, mtafute timbulo atakupa namna amesolve mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…