Domo zege linanitesa jamani

Piga kibapa kidogo na kabalimi kamoja then msimamishe yoyote, then ulete mrejesho hapa
 
Kama una pesa njoo nkupe darasa kidogo nahisi utaleta mrejesho humu humu halafu maswala ya kujisifia kua we ni handsome mambo ya primary na secondary hayo
 
Bac nna amani saiv kumbe tupo wengi '"domo chandi'" uuuhuu...
 
Jifunze sound wewe hainaga tuisheni hiyo, acha uboya. Unaogopa nini sasa?
 
Kama unaweza kuongea na kuelewa lugha ya kiingereza ingia youtube mtafute jamaa anaitwa RSDMAX huyu ni mwalimu wa kufundisha watu kuondokana na uoga wa kutongoza..

Anakuonyesha kabisa jinsi ya kumsimamisha msichana usiemfahamu na kuanza kumtongoza

Pia kama wewe ni mtu wa kwenda bar na night club pia ana videos za kukupa mbinu za kutongoza kwenye mazingira hayo

Na mimi miaka 2 nyuma nilikua domozege kama wewe ila saiv niko fiti kutongoza demu yoyote hata mastaa wa bingo movie na bongofleva (joke)

Thank me later
 
Nimecheka saana..! We boya sana huna nyege bwege wewe..![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimelia saana.. wasichana wakike na wakiume...!!??
 
Wasichana wa kike na wa kiume??????

Handsome na mashine umejaaliwa ila yawezekana haifanyi kazi.

Ungekuwa ushafunguka mwenyewe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…