Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,363
- 1,135
Naskia Wanawake wa Kikuria kule Mara asipopigwa na mumuwe anaona kama vile mume hampendi!
Hadi lini Western civilization will stop lecturing to we Africans how we should love our women? Do we as Africans need to read a book how to love each other? Remember we have been living and loving each other for centuries!!
Ni Kupendana kwa kuchukiana Lol!!
A Love hate relationship.
Chuki inajenga muunganiko ambao ukijijenga na kukomaa ..unakuwa Tabia!
Mwishoni unaonekana kama upendo vile ..lakini kiukweli hakuna Upendo hado wameganadana kama sumaku inavyogandana na msumari .. very mechanical hakuna Upendo ..ni maumivu ya Kikuria tu hayo yanazuga watu na kuonekana kama kupendana vile!!
Hao wanawake wakitaka wasidundwe ?? ... Wapinge na kutatua matatizo bila hizo hisia zinazowasaliti bila wao kujitambua!!