Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,387
Domestic violence (Kwa maana ya language, physical or sexua abuse/assault) ni jmabo linanikera sana na linanitia udhuni. Kwa muda mrefu niliwaza kuweka thread yenye kuhusu domestic violence ila sikujua from which angle to tackle the matter. I am not sure this is the best way to share what I had to say. If you have more on domestic violence please changia, kwa mifano maoni au critics.
Nimefanya kazi na majeruhi wa domestic violence na wote nimekutana nao hadi sasa ni wanawake (ingawa majeruhi wa kiume wapo pia). Kwenye thread hii tutazungumzia majeruhi wa kike zaidi. Suali langu la mwanzo lilikua hili: kwanini majeruhi wa domestic violence hawajitokezi ili hatua za kijamii na za kisheria zichukuliwe dhidi ya wenzao? Suali lingine lilikua kwanini wanaume wanaamua kuwapiga au kuwa-assault wake zao regularly and still pretend to love them? Mwisho kabisa nilijiuliza ni namna gani tunaweza kusaidia couples zenye matatizo haya (maana kuna ambao wanayamaliza kabisa na kuendelea vizuri, wengine wanaumia physically or emotionaly kwa muda mrefu sana)
Katika maongezi yangu na majeruhi nilipata majibu mbali mbali ila jibu lililo rudi zaidi ni kwamba wanaogopa kua indexed as wasaliti wa ndoa zao. Jamii zetu hazina huruma kwa wanawake kama ilivo kwa wanaume hivo mwnaamke anae mshtaki mwanaume kuhusu domestic violence anaonekana hafai kua mke mwema sababu anashindwa kutunza siri za ndani ya ndoa na sometimes the blame goes as far as "kama alipigwa kuna sababu aulizwe vizuri" or "kama alibakwa maana yake hakumpa mume haki yake".
Jibu lingine ambalo sikutegemea ni kwamba wanaogopa mahusiano kuisha. Sio tu kwa financial and social comfort (ingawa kuna ambao walikiri hili lipo), but because they are genuinely in love with the guy na wanahisi kushtaki kutavunja mahusiano yao and she will miss him because even after what he did she still loves him.
Kwa kujibu swali la pili nilielekea wataalam wa kisaikolojia ambao walinambia mara nyingi wanaume wanao abuse wake zao wanafanya hivo sababu hawana uwezo wa kupata suluhisho kwa matatizo yanayo wakabili. They have developed a diagram whereby any problem is solved through violence that divet the attention from real existing problems as the defeated opponent is left to deal with trauma. Baada ya kupigwa ubishi ukiendelea unakua "kwanini ulinipiga" which is an easy question to deal with: you didn't listen.
Tatizo hili linaisha mwanaume anapo funnzwa njia zingine za kumaliza matatizo kwa kupitia maongezi ya moja kwa moja au kwa kupitia mediator. Ni jambo linaweza kushangaza sana kua mwanaume mzima hajui kwamba matatizo yanaisha kwa kuongea. wanaume kadhaa walisema kumaliza matatizo kwa kuongea ni alama ya udhaifu sababu wanalazimika kukaa kimya na kummsikiliza mwenzao, au wanalazimika kufanya concession.
Tafiti zimeonesha kua couples zenye uhakika kua ndoa haito vunjika baada ya kuzungumzia masuala haya na watu wa nje zipo more willing to share, na pia couples zinazo jifungua kwa third parties (Baraza za familia, wachungaji wa dini, support and sharing groups, matrone au best men etc) kuhusu matatizo haya zina uwezo mkubwa zaidi ya kumaliza matatizo yao na kuendelea maisha ya kawaida, mnamo muda mfupi zaidi kuliko couples zinazo jifungia na matatizo yao.
Bahati mbaya washahuri wengi wa kwanza (just as the violence occurs, and the victim talks to a friend or a sibling) wanashahuri kuvunja mahusiano hivo kuwafanya majeruhi kuto rudi tena kulalamika ikiwa violence inatokea tena. Hapa pia ilionekana kua majeruhi wengi wanajifungua zaidi kwa ndugu zao wenyewe au kwa rafiki zao, ila wale walio jifungua kwa ndugu wa mume au kwa rafiki wa mume/wa couple, walishahuriwa kumaliza matatizo bila kukata mahusiano (not always but often)
Vitu kadhaa niligundua ni kwamba
* All studies zinapatikana on demand via PM (please note that most of them are in french)

- mwanaume kumpiga mwanamke doesn't necessarily mean hampendi, but it certainly means ni hatari kwa mke wake.
- Mwanamke anae mvumilia mume wake ambae ni abusive doesn't necessarily do it because she is weak and intimidated, it could also mean she had alternatives but decided to do this.
- Jamii ina role kubwa sana ya ku-play katika kusaidia couples ku-recover from such a climate (mfano wanawake walio pata support ya familia in rural area walirecover in 2-4 month, wale walio ikosa but walipitia a psychiatrist to deal with it, in urban area walipona baada ya miaka 2)