REJONGO
Senior Member
- Oct 23, 2015
- 185
- 128
HahahahahahaaaaaaaaaHALAFU UTAKUTA HUYU NI MPENZI WA MTU! NYIE WANAUME MTATUUA KWA STRESS
HahahahahahaaaaaaaaaHALAFU UTAKUTA HUYU NI MPENZI WA MTU! NYIE WANAUME MTATUUA KWA STRESS
njoo nikufundisheHapa pananichanganya sana, bado sijaweza kujua kutambua dollar moja ni sawa na shilingi ngapi ya Tz mana huwa naona watu huandika viwango mbalimbali, kifupi nahitaji kujua jinsi ya kutambua dollar kadha ni sawa tsh ngapi mfano mtu akisema nakupa dollar 250 hapo najuaje kuwa hii ni sawa na kiasi fulani cha tsh nielekezeni wakuu mana hivi vitu vinahusika kila siku.
Mkuu hapa sijui ntakua na sh ngap???
Duh hatar sanaaa
Mkwanja mrefu thana apo.,,, > 1,115,000/=
Namaanisha "za uhakika" yaani.zippo nyingi xana ,,,, checky na play store yako utazikuta
Kaka na swali hapa kwa MFAno thamni ya dollar moja ilkuwa 2000 uka change tz shillings to dollars yani nika nunua hata dollar 100 then nikazi tunza ghafla kwa muda mfupi thmni ya dollar ika panda from 2000 to 2300 nitafanyaje hapo ili niweze pta faida maana naskia ndio mchezo wa baadhi wa wachumi kupata pesakwanza unatakiwa ujue kila nchi inatumia pessa yake,, isipokua nchi chache sana ambazo zinashare pessa,,,
Sasa pessa baina ya nchi na nchi zinakua na thamani tofauti.. mfano, shillingi ya tanzania sio sawa na shillingi ya kenya au dollar ya kimarekan.... Sababu zinazofanya thamani ya pessa za nchi zitofautiane ziko nyingi sana ambalo ni somo jingine/lecture nyingine lakini we jua zinatofautiana thamani.....
Utofauti wa thamani ya pessa hua unafanyiwa makadirio kila siku, ikilinganishwa na thamani ya pessa za nchi nyingine,,,
mfano,,, thamani ya dollar inafanyiwa tathmin kila siku ikilinganishwa na shillingi ya tanzania ili kujua inaimarika au kuporomoka ikilinganishwa pia na pessa zingine zotte duniani....
Mfano ukiambiwa dollar 1 ni sawa na sh. 2000 ina maana katika dollar hii moja ndani yake kuna shng 2000 za kitanzania,,, au dollar moja ina thamani ya elf 2000 ya kitanzania,,, ina maana thamani ya dollar ni mara 2000 ya thamani ya shillingi,, ukienda leo marekani una shng 2000 mfukoni kwao hii ni sawa sawa utakua na dollar moja( kutokana na pessa yao ss) .....
kwa hiyo kama ulivouliza mfano nna dollar 250 ntajuaje ina thamani gani katika shillingi???? kama nlivokwambia kila siku thamani za pessa zinathaminishwa na kulinganishwa, ina maana utaangalia je siku hiyo thamani ya dollar ikoje ukilinganisha na shillingi????
mfano siku hiyo dollar moja ni sawa na sh. 2000,,,,
if 1 ==== 2000
250 ==== x
2000 x 250 == x
500,000 ===== x
kumbe dollar 250 kwa siku hiyo itakua sawa na thamani ya 500,000 ya kitanzania......................
DUUH !!!! KASOME SIMPLE CONCEPT ZA ECONOMICS/COMMERCE/FINANCE,,,,,, taelewa vizur kwa undani zaid...............
Kaka na swali hapa kwa MFAno thamni ya dollar moja ilkuwa 2000 uka change tz shillings to dollars yani nika nunua hata dollar 100 then nikazi tunza ghafla kwa muda mfupi thmni ya dollar ika panda from 2000 to 2300 nitafanyaje hapo ili niweze pta faida maana naskia ndio mchezo wa baadhi wa wachumi kupata pesa